CCM/Kinana weka mbali na Tembo

CCM/Kinana weka mbali na Tembo

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-yake-lakini-meno-ya-tembo-si-yake-print.html
attachment.php
View attachment 74487
Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar vimekamata shehena ya meno ya Tembo iliyokuwa imefichwa kwenye makontena mawili yaliyokuwa na dagaa katika Bandari ya Zanzibar.

Mkuu wa Bandari ya Malindi, Martin Lissu, alisema makontena hayo yalikamatwa jana mchana na kuongeza kuwa yalitokea Tanzania Bara yakidaiwa yalikuwa njiani kuelekea Malyasia.

Lisu alisema ndani ya makontena hayo kulikuwa na magunia ya dagaa ambapo kila gunia lilikuwa na vipande kati ya 8-10.

Alisema shehena hiyo iliwasili mjini Zanzibar wiki mbili zilizopita kwa Meli ya MV Break iliyotokea Tanzania Bara.

Taarifa kutoka Bandari ya Zanzibar zilisema watu wawili wanashikiliwa pamoja na wakala aliyepokea mzigo huo kutoka Bara.

Alisema baada ya kuwasili visiwani humo mzigo huo ulihifadhiwa eneo la Mwanakwelekwe ambapo kila moja lilikuwa na urefu wa mita 20.

Makontena hayo yalikuwa na magunia 135 ya dagaa ambayo inadaiwa yalitokea jijini Mwanza, lakini kabla hayajaondoka visiwani humo yalidakwa na vikosi vya usalama.

Taarifa zinasema mzigo huo ulikuwa unasafirishwa na raia wa China na kwamba watu waliokuwa wakisafirisha walikuwa wanatumiwa.
============================================================
*Meno ya tembo yakutwa yakiandaliwa kuwekwa kwenye jeneza
*Baadaye yangefunikwa kwa bendera ya taifa, polisi wakataa hongo
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia raia watatu kutoka nchini Kenya na Mtanzania mmoja, baada ya kuwakamata wakiwa na meno ya tembo 214, yenye thamani ya Sh bilioni 2.1.

Hii ni mara ya kwanza kwa jeshi la polisi nchini, kukamata shehena kubwa ya meno ya tembo, kutoka kwa watu wanaodhaniwa kuwa ni majangili.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleman Kova, alisema watuhumiwa hao walikamatawa juzi katika eneo la Kimara Stop-Over.

Aliwataja watuhumiwa hao, kuwa ni Polisi Simon (42), ambaye ni dereva wa daladala aina ya Costa, Charles Wainaine (41), mkazi wa Tarakea Wilaya ya Rombo na Peter Kabi, ambao wote ni Wakikuyu kutoka nchini Kenya.

“Uchunguzi wa awali, ulibaini wahalifu hawa, ni wazoefu katika matukio ya mtandao wa ujambazi, usafirishaji na umiliki wa nyara za Serikali.

“Mpango wa siri, walioutumia watuhumiwa ni kutumia gari aina ya Costa, inayoendeshwa na Polisi Simon, kwa kusafirisha... waliweka jeneza lililofunikwa bendera ya Taifa, kama wanasafirisha maiti ya mtu mashuhuri wa Serikalini.

“Lengo ni kutaka kuzubaisha vyombo vya dola au mamlaka zinazohusika...nyara hizi zingevushwa kwenda nje ya nchi, kupitia mpaka wa Tarakea Wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro,” alisema Kova.

Alisema katika tukio hilo, mwanamke mmoja Leornad Kabi, alikamatwa kwa kosa la kuwashawishi askari polisi waliokamata mali hizo, ili wapokea rushwa ya Sh milioni 15 na kuahidi kuwapatia fedha nyingine siku inayofuata, kama wangewaachia.

“Tunashirikiana na uongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, ili kupata uzito wa thamani na uchunguzi wa kina utafanyika, ili kubaini mitandao ya wizi wa nyara za Serikali,” alisema.

Alisema polisi walifanya msako, baada ya kupata taarifa kuwa, kuna nyumba inahifadhi mali za wizi, ambazo zinasadikiwa kuwa nyara za Serikali.

Alisema polisi walifika katika nyumba hiyo, ambayo alipanga Peter Kami, anayeishi na Leornad Kabi na kukuta idadi ya meno 214, ambayo yalikuwa yamehifadhiwa katika mifuko ya salpheti 12, ikiwa imefunikwa na bendera ya Taifa, pembe za ndovu 10 na na mifupa ya tembo 500

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/346777-ujangili-wa-kutisha-print.html

Watanzania amkeni msicheke na CCM maana ndiyo kichaka cha majangiri, mafisadi, majambazi...
 
kinana namuogopa kuliko tembo wenyewe!! mtu huyu ni hatari sana kwa mbuga zetu za wanyama! TEMBO WALINDWE JAMANI, vizazi vijavyo tutawaachia nini??
 
kinana nahisi akiona hiyo picha ya tembo hapo juu, maudenda yanamtoka kwa uchu! nawatema ccm puuuuuuuuuuu! nilishasema ni bora mtu kujijua unaumwa HIV, KULIKO KUJIJUA UNATAWALIWA NA CCM!
 
we paka mweusi unafikiri tunaogopa kunyolewa?
jamaa sasa wanakata ngozi kwa sababu ya ulevi.
 
Mwiteni Ritz na wenzake waje washuhudie hapa wawajue vizuri hao wakubwa zao, watupe majibu hizo meli na makontena ni ya nani????
 
kinana namuogopa kuliko tembo wenyewe!! mtu huyu ni hatari sana kwa mbuga zetu za wanyama! TEMBO WALINDWE JAMANI, vizazi vijavyo tutawaachia nini??
Mkuu iko siku watoto wetu watatemea mate makaburi yetu au watayageuza vyoo maana hatuta kuwa na thamani yoyote kwao kama leo hawa tembo tuna waachia wana malivya na genge a watu hata 30 hawa fiki then tuna cheka nao kesho itakuwa historia kuwa tulikuwa na tembo....tuungane kukomesha ujangine na maoovu mengine zidi ya watanzania na rasilimali zao...
 
Mwiteni Ritz na wenzake waje washuhudie hapa wawajue vizuri hao wakubwa zao, watupe majibu hizo meli na makontena ni ya nani????
Alisha sema meli ni yakwake ili Meno siyo ya kwake....labda ya Riz1 maana nasikia kuna siri kubwa sana kati ya kikwete na Kinana kampeni meneja wa Kikwete baada ya kupunguza kumtumia Rostam sasa ana mtumia kinana kufanya diri zake sasa ukizingatia na Kinana kuwa ni jangili lilo kubuhu yaani hawa tembo sijui kama watafika 2020....
 
tutakutana tena 2015 kwenye boxi la kura

na ole wao waibe...!!
Mimi naona kama ni mbali sana kwa kasi ya ukwapuaji wanaoenda nayo...labda tuwapigie makelel wapunguze ili angalau tufike 2015...
 
mimi naona kama ni mbali sana kwa kasi ya ukwapuaji wanaoenda nayo...labda tuwapigie makelel wapunguze ili angalau tufike 2015...

we waaache tuh wakwapue,,si watarudisha??

Na wajiandae kabisa kwenda uhamishoni,tunafunga wote,hatutabakisha hata mmoja safari hii
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-yake-lakini-meno-ya-tembo-si-yake-print.html
attachment.php
View attachment 74487
Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar vimekamata shehena ya meno ya Tembo iliyokuwa imefichwa kwenye makontena mawili yaliyokuwa na dagaa katika Bandari ya Zanzibar.

Mkuu wa Bandari ya Malindi, Martin Lissu, alisema makontena hayo yalikamatwa jana mchana na kuongeza kuwa yalitokea Tanzania Bara yakidaiwa yalikuwa njiani kuelekea Malyasia.

Lisu alisema ndani ya makontena hayo kulikuwa na magunia ya dagaa ambapo kila gunia lilikuwa na vipande kati ya 8-10.

Alisema shehena hiyo iliwasili mjini Zanzibar wiki mbili zilizopita kwa Meli ya MV Break iliyotokea Tanzania Bara.

Taarifa kutoka Bandari ya Zanzibar zilisema watu wawili wanashikiliwa pamoja na wakala aliyepokea mzigo huo kutoka Bara.

Alisema baada ya kuwasili visiwani humo mzigo huo ulihifadhiwa eneo la Mwanakwelekwe ambapo kila moja lilikuwa na urefu wa mita 20.

Makontena hayo yalikuwa na magunia 135 ya dagaa ambayo inadaiwa yalitokea jijini Mwanza, lakini kabla hayajaondoka visiwani humo yalidakwa na vikosi vya usalama.

Taarifa zinasema mzigo huo ulikuwa unasafirishwa na raia wa China na kwamba watu waliokuwa wakisafirisha walikuwa wanatumiwa.
============================================================
*Meno ya tembo yakutwa yakiandaliwa kuwekwa kwenye jeneza
*Baadaye yangefunikwa kwa bendera ya taifa, polisi wakataa hongo
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia raia watatu kutoka nchini Kenya na Mtanzania mmoja, baada ya kuwakamata wakiwa na meno ya tembo 214, yenye thamani ya Sh bilioni 2.1.

Hii ni mara ya kwanza kwa jeshi la polisi nchini, kukamata shehena kubwa ya meno ya tembo, kutoka kwa watu wanaodhaniwa kuwa ni majangili.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleman Kova, alisema watuhumiwa hao walikamatawa juzi katika eneo la Kimara Stop-Over.

Aliwataja watuhumiwa hao, kuwa ni Polisi Simon (42), ambaye ni dereva wa daladala aina ya Costa, Charles Wainaine (41), mkazi wa Tarakea Wilaya ya Rombo na Peter Kabi, ambao wote ni Wakikuyu kutoka nchini Kenya.

Uchunguzi wa awali, ulibaini wahalifu hawa, ni wazoefu katika matukio ya mtandao wa ujambazi, usafirishaji na umiliki wa nyara za Serikali.

Mpango wa siri, walioutumia watuhumiwa ni kutumia gari aina ya Costa, inayoendeshwa na Polisi Simon, kwa kusafirisha... waliweka jeneza lililofunikwa bendera ya Taifa, kama wanasafirisha maiti ya mtu mashuhuri wa Serikalini.

Lengo ni kutaka kuzubaisha vyombo vya dola au mamlaka zinazohusika...nyara hizi zingevushwa kwenda nje ya nchi, kupitia mpaka wa Tarakea Wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro, alisema Kova.

Alisema katika tukio hilo, mwanamke mmoja Leornad Kabi, alikamatwa kwa kosa la kuwashawishi askari polisi waliokamata mali hizo, ili wapokea rushwa ya Sh milioni 15 na kuahidi kuwapatia fedha nyingine siku inayofuata, kama wangewaachia.

Tunashirikiana na uongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, ili kupata uzito wa thamani na uchunguzi wa kina utafanyika, ili kubaini mitandao ya wizi wa nyara za Serikali, alisema.

Alisema polisi walifanya msako, baada ya kupata taarifa kuwa, kuna nyumba inahifadhi mali za wizi, ambazo zinasadikiwa kuwa nyara za Serikali.

Alisema polisi walifika katika nyumba hiyo, ambayo alipanga Peter Kami, anayeishi na Leornad Kabi na kukuta idadi ya meno 214, ambayo yalikuwa yamehifadhiwa katika mifuko ya salpheti 12, ikiwa imefunikwa na bendera ya Taifa, pembe za ndovu 10 na na mifupa ya tembo 500
============================================================

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/346777-ujangili-wa-kutisha-print.html

Watanzania amkeni msicheke na CCM maana ndiyo kichaka cha majangiri, mafisadi, majambazi...
CCM ya sasa sio kichaka tena
 
Kama anarudishwa, kuna mengi ya kujifunza juu ya tawala za kiafrika.
 
Back
Top Bottom