Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Mkuu.
Ni huko ni 8 bila tu
Naona unataka kamati kuu ya CCM itengue maamuzi ya mkoa.Shhhhh taratibu mkuu
Mkuu.
Ni huko ni 8 bila tu
Kufukuza ni jambo moja ishu ni kutetea kata, ccm lazima wanye uti wa mgongo
Inabidi kuwa makini maana kwenye mamba na kenge wapo. Kuna watakaojifanya kuingia kwenye mkumbo huo wakijua kabisa kwa stahili hiyo watapokelewa na kuminiwa na vyama vya upinzani kumbe ni mamluki wa masisiem. Siyo kila king'aacho ni dhahabu.
usingekurupuka, unaona sasa umetoka hujavaa nguo!!!
chutama haraka.
Huwezi kuongea siasa labda uwe na roho ngumu kama chama
Nani kashauri kufukuza hawa madiwani?, kakiponza chama chake.
Inabidi kuwa makini maana kwenye mamba na kenge wapo. Kuna watakaojifanya kuingia kwenye mkumbo huo wakijua kabisa kwa stahili hiyo watapokelewa na kuminiwa na vyama vya upinzani kumbe ni mamluki wa masisiem. Siyo kila king'aacho ni dhahabu.
Huu ujasiri walikua wanauweza CHADEMA tu, naona Gambaz wameiga nao