Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,242
- 10,227
Wanaiga CHADEMA? Ni bora sasa watuachie kata zetu hizo.Cha moto watakiona!
Mkuu.
Ni huko ni 8 bila tu
Wanaiga CHADEMA? Ni bora sasa watuachie kata zetu hizo.Cha moto watakiona!
Natumaini hasira za wahaya kupinga utawala wa maccm zitawaka zaidi! hao madiwani kama walikuwa wazalendo kweli ni wakati wao sasa kuwaamsha madiwani wengine kuwa their not belong to Chama but their for watanzania.Ni kweli wamefukuzwa,na et wanadai kama chadema walifanya maamuz magum kwann ccm wasiweze? Imekula kwao hawa! Wale madiwan walikuwa wakipinga ufisadi
Hapo kata 8 zinaenda CHADEMA
Haraka ya nini tulia leta habari kamili siyo mbio uonekane wewe ndo wa kwanza kuleta habari unafukuzwa????
Wamejipaka matope,watu wanaopinga ufisadi ndio wanaofukuzwa...ama kweli akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa.Kwa upande wetu CHADEMA huo ni ushindi wa kata zote 8,CCM mtakufa bila kujijua
Sioni Tofauti,Mbona CHADEMA iliwafukuza madiwani wanaopinga UFISADI mwanza na kumuacha MEYA mtuumiwa
"Vox popoli vox dei"
CC ben saanare,all CDM