CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

CCM hawana ubavu huo. Wanafukuza usiku wanawarudisha asubuhi.

CCM ni chama makini kina katiba na taratibu zake; siasa za Bukoba zimelenga zaidi katika umimi chama kinaangalia maslahi ya wananchi sio nani anamtaka au hamtaki Amani; mzee Mangula aliweka wazi; kamati kuu itakaa chini na kutoa maamuzi ya mwisho huo ndio utaratibu maamuzi siyo ya mtu mmoja au wawili!
 
chama kweli kama ndo hivyo itakuwa hatareee sana;
milioni 37 kwa mwezi ni hela kubwa sana kulinganisha na ofisi yenyewe inavyoonekana
au pengine kwa nyuma kuna gorofa Ritz hakuweza kuiweka kwenye picha
nitavizia nipite pite na mie nijionee.

Mamndenyi
Nenda kaulize pale mtaa wa Togo uone kama hutafukuzwa Chadema! Ule ni mradi wa watu halafu leo wanajitia eti wanataka kuwatetea watanzania; mkuu Ritz amewafumbua macho wengi tu!
 
Last edited by a moderator:
chama kweli kama ndo hivyo itakuwa hatareee sana;
milioni 37 kwa mwezi ni hela kubwa sana kulinganisha na ofisi yenyewe inavyoonekana
au pengine kwa nyuma kuna gorofa Ritz hakuweza kuiweka kwenye picha
nitavizia nipite pite na mie nijionee.
Mamndenyi
Magorofa wanajijengea wenyewe; nakushauri ukipita mitaa usijakwatue sana mateja mengi sana kabari ndio nyumbani kwake nawasiliana na mkuu Ritz akupatie ulinzi
 
Last edited by a moderator:
CCM ni chama makini kina katiba na taratibu zake; siasa za Bukoba zimelenga zaidi katika umimi chama kinaangalia maslahi ya wananchi sio nani anamtaka au hamtaki Amani; mzee Mangula aliweka wazi; kamati kuu itakaa chini na kutoa maamuzi ya mwisho huo ndio utaratibu maamuzi siyo ya mtu mmoja au wawili!

CCM ni chama makini kinatetea mafisadi na kuwafukuza wale wote wenye uzalendo na nchi yao, kuwang'oa kucha na meno wote wanaotetea haki na ukweli, kuwamwagia tindikali vijana wanyonge ili watumike kama karata majukwaani wakati wa kutafuta huruma za wananchi, kurusha mabomu kwenye mikutano ya upinzani hususan chadema.

CCM ni chama makini KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIIIII!!!!!!!
 
ha ha haaa
kama hivyo mwambie Ritz anitumie gari
hapa kijiweni na mie nikadesee.

Mamndenyi
Magorofa wanajijengea wenyewe; nakushauri ukipita mitaa usijakwatue sana mateja mengi sana kabari ndio nyumbani kwake nawasiliana na mkuu Ritz akupatie ulinzi
 
Last edited by a moderator:
CCM ni chama makini kinatetea mafisadi na kuwafukuza wale wote wenye uzalendo na nchi yao, kuwang'oa kucha na meno wote wanaotetea haki na ukweli, kuwamwagia tindikali vijana wanyonge ili watumike kama karata majukwaani wakati wa kutafuta huruma za wananchi, kurusha mabomu kwenye mikutano ya upinzani hususan chadema.

CCM ni chama makini KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIIIII!!!!!!!

Umekunywa chai kamanda? Naona umeamka na hamaki!
 
Mkuu nipo makini usitie shaka.
CCM ni chama makini na serikali yake iko makini, maana madawa ya kulevya yanapitia uwanja wa ndege wa JNIA halafu yanakamatiwa Hong kong, Pembe za Ndovu zinapitia uwanja wa ndege, twiga anapakiwa kwenye ndege usalama wetu hawawahi kuona. CCM inaua waandishi wa habari na kufanya ugaidi, kweli ccm ni chama makini.

CCM ni chama makini. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIIIIIII!!!!!!!!!!!
 
Pata kifungua kinywa utie akili naona bado upo usingizini! Nataka uamke ili tukianza kuwajadili hao watakatifu wako usikimbie!
 
hapa tulipofikia ukiuliza swali kama hilo ujue na mimi
nitakuwa sikuelewi kabisa unajua.
Mamndenyi
Tuko pamoja kwa sana nataka uhakika tu ili usije ukakataa usafiri! Unajua tena wenzetu akili zao zimechotwa wanavaa mpaka chupi za khaki!
 
Last edited by a moderator:
Mie nasubiri usafiri hapa kijiweni,
Mkitaka wekeni na bendera ya chama kabisa.
Mamndenyi
Tuko pamoja kwa sana nataka uhakika tu ili usije ukakataa usafiri! Unajua tena wenzetu akili zao zimechotwa wanavaa mpaka chupi za khaki!
 
Hivi punde nimepokea taarifa kuwa Chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa kagera kimeitisha press conf saa 6:00 mchana kutoa tamko jipya kuhusu alichosema NAPE jana kuhusu kubatilishwa kwa uamuzi wao wa kuwafukuza madiwani 8.
Nitawajuza kitacahosemwa kama nitawahi kwa kuwa sasa niko Muleba lakini nafukuzana na upepo kuwahi huo mkutano.

byabato
 
Ha ha ha ha.Kifungu hiki kinapita........................ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Haya maamuzi hayana tija kwa wananchi,,sisi tunataka maendeleo na si vinginevyo,,,,
 
Back
Top Bottom