Wakati nikiwa mwangalizi wa Uchaguzi jimboni mwaka 2010, kata za Kashai, Ijuganyondo, Hamugembe, na Buhembe CCM walipita kwa mbinde!
Lakini kumfumuza Ruhangisa ni kujiua zaidi mkoani Kagera maana yeye ni mzee wa kuchaguliwa bila kuwepo!
Oooh, Katonda! CCM yafwire nira. Byona bushai.
Wanaiga CHADEMA? Ni bora sasa watuachie kata zetu hizo.Cha moto watakiona!
ni kweli mkuu na itakula kwao
Imetokea mkoani Kagera wote madiwani 8 wamefutiwa uanachama.
Vita vya panzi :majani7: furaha ya kunguru. 😛eace: Magamba yana tuzuga ila ni vizuri yakigombana.Hapa CCM wanajaribu kuwatisha hao madiwani wao lakini kwa uhakika kabisa hawana ubavu wa kuwafukuza! Kinachofanyika hivi sasa ni kuwavunja nguvu ili warudi kuomba msamaha na kurudishiwa uanachama wao kwa masharti!!! na ndiyo maana katibu huyo amehitimisha kwa kusema wanayohaki ya kukata rufaa ngazi ya juu!!. Hali ya kisiasa kwa sasa haiwapi jeuri CCM kufukuza madiwani 8 hata kidogo!!. Stay tuned!
Arusha ilikuwa kipigo cha 4-0 sasa Bukoba kinaenda kipigo cha 8-0. CCM bwana! Eti ukipinga ufisadi unafukuzwa,sii wabadili jima tuu na kujiita CCU yaani CHAMA CHA UFISADI?