CCM ivunjike tu

CCM ivunjike tu

Walitabiria vyama vingine kufa lakini leo naukumbuka na naanza kuuona ule msemo wa Kiha kwamba 'ulusabhira mukaso rukadyanyoko'maanayake unamuombea kifo mamayako wa kambo lakini kifo kikampitia mamayako mzazi!.Ccm ife tu tugawane mbao,ife tugawane viwanja vya mpila vifanyiwe maombi kuondoa nuksi ya dhuruma Ili Taifa srmtars nayo itupe heshima.Ccm ife tu watanzania tufaidi rasilimali zetu wote kuliko watoto wa wana Ccm tu.Mungu ibariki Tanzania
 
Hahaaaaa!!!! Ulusabhira maso lukadya nyoko ubhona!!
Ccm ife tu.
 
Tatizo Upinzani kuna watu MashaAlllah kuongea tu wamejaliwa , lakini mapaka sasa hakuna Chama hata kimoja huko upinzani kipo tayari kuendesha hii nchi... wao kwa wao ndani ya vyama wana migogoro, vyama vimejikita katika mikoa na wilayani tu! CCM ina mizizi vijijini ....
 
Tatizo Upinzani kuna watu MashaAlllah kuongea tu wamejaliwa , lakini mapaka sasa hakuna Chama hata kimoja huko upinzani kipo tayari kuendesha hii nchi... wao kwa wao ndani ya vyama wana migogoro, vyama vimejikita katika mikoa na wilayani tu! CCM ina mizizi vijijini ....

Njiwa kweli.Acha mizizi ya chini isiyoonekana kwa sbb ipo chini ya Aridhi.Sema ina matawi lakini Pia tumeyaona kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.Nanukuu maneno ya Dr Slaa'Ccm bila vyombo vya dola niwepesi na weupe kuliko karatasi.Kama hakuna chama kilicho tayari kwenda Ikulu mnaweweseka kwanini? Simtulie tu kuliko kuanza kutoana meno?.Kama Ccm inajiamini inapendwa ifanye siasa safi nauchaguzi ulio huru,uwazi na haki.Ikifanya hivyo ntahamia Ccm
 
wizi,uoga, urafi wa madaraka,makundi yote hayo yanapelekea hali iliyopo...udhaifu wa mwenyekiti wa chama hicho ndio tatizo la msingi..amulea ugonjwa kwa mda wote..uwezo alikuwa nao...sasa anaelekea kubanwa kwenye kona..haakuwa na uwezo wa kufanya lolote.....mwenyekiti hana tofauti na miti ya ashoki

kuna MWENYEKITI NA MTUNZAZKITI, huyu ni yupi?
 
Usishangae ndugu yangu, huyo Barbarosa ni specimen hasa ya watu wapuuzi waliokamata uongozi wa nchi hii toka wa juu kabisa hadi wa chini. Unaweza kukuta mtu mwenyewe ni Waziri au hata Mbunge na bahati yako uko mbali naye; angeweza kukung'oa hata meno kwa bisibisi. Hawa ndio wanakaa na kupanga mauaji na utekaji nyara kama aliyofanyiwa yule daktari masikini. They will go to any length kulinda mali zao za wizi na matendo yao ya kifisadi hata ikibidi kumtoa mtu roho. Je unaweza kuamini wengi unaowaona hapa chini wakimshambulia mwananchi mwenzao ni Wabunge?

View attachment 264749

Wengi hapo ni Wabunge, watunga sheria, wakivunja sheria bila woga wa kushughulikiwa.

Dah inaikumbuka sana hii siku nimetoka kwenye pepa makamanda tunaitwa viwanja vya mwanga bar dom ccm walitoa bendera zetu mwaka 2013. Nikiionaga hii picha nakumbuka mbali sana kamanda wangu
 
Bahati Iliyoje, Nimeshuhudia Papa wa Kwanza Akijiuzulu Duniani, Nimeshuhudia Kuanguka kwa Ukuta wa Berlin, Nimeshuhudia Afrika ikiwapoteza Viongozi Mahiri Nyerere na Mandela, Nimeshuhudia Ndege ikipotea na Kutoonekana Tena, Na Sasa Nashuhudia Anguko la CCM.

Kwenye Maisha ya Binadamu, Mambo Kama Hayo Hutokea Mara Chache Sana. Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
CCM ni Chama Tawala chenye mifumo na mizizi mirefu sana,hakiwezi kufa kirahisi hivyo.
Lowassa ni kweli ana Afya Duni Sana,ila ni mtu aliyeweza kufanya co-ordination ya hali ya juu sana ktk kupanga mikakati na watu ili kufanikisha Azma yake.
Mwenyekiti wa CCM hana ubafu wa kutamka hadharani kuwa Lowassa Hafai,na wengine wote si wasafi kuweza kutamka hadharani kuwa Hafai,kitakacho jiri Lowassa atapewe bendera ya CCM kuwania uraisi wa Tanzania ,na akikosa uraisi plan B yake ni kurudi kuwa Waziri Mkuu kwa kuendesha nchi kama Putin
 
Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.

Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.

Kwa kweli hata mimi sioni ni namna gain CCM itapona. Wanaweza mpitisha Lowassa kwa uoga tu ili liwalo na liwe. Name Lowassa kwa peas yake na upungufu wetu watanzania kufikiria na kuabudu mwenye pesa hata kama ni za kifisadi, tukamchagua ama hata kwa kugushi. Bado amini nawaambia, nchi haitatawalika. Ndipo mtaamini laaana ya Nyerere kwa watanzania, ama itabidi kwa mara ya kwanza I we serikali ya kidkteta ya CCM hakika itaangushwa, haraka kwa nguvu ya umma.
 
Shida sio CCM kufa kabisa
CCM now ni kama 'dead man walking'
shida ipo kwenye replacement tukishaizika CCM
je wananchi wanaiona na kuiamin replacement?

we umeiiona?
Tangu lini "nature" ikaruhusu "vacuum"?
 
Back
Top Bottom