Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.
Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.
Umenena kweli. CCM ikiondoka mbadala ni nini? Vyama vilivyopo hata mgombea wa urais hawana. Sasa nchi itakabidhiwa kwa nani? Naona CCM itaendelea kutawala hata akikatwa mtu.Shida sio CCM kufa kabisa
CCM now ni kama 'dead man walking'
shida ipo kwenye replacement tukishaizika CCM
je wananchi wanaiona na kuiamin replacement?
we umeiiona?
Kama fisadi ni moja tu ndani ya CCM, kama mikwara yote ya watangazania 42 inasababibishwa na mtu moja tu, kama katika idadi ya wananchama wanaodaiwa kuwa milioni tano (sic!) fisadi na mwizi ni mtu moja tu, kama kwa watangazania wote 42 ni mtu moja tu anayedhani chama ni cha kwake na kama, kama...duh! Heri hiki chama kivunjike vipande vipande kila moja abebe fito zake.
Fikiria mtu moja...EPA yeye, Richmond yeye, Kagoda yeye, Meremeta yeye, mauaji ya tembo yeye, kutoroshwa kwa twiga yeye, Escrow yeye, utawala dhaifu yeye, mauaji ya Albino yeye, ufujaji kwenye halmashauri yeye, madawa ya kulevya yeye, Katiba mbovu yeye, kero za Muungano yeye, ukosefu wa madawa hospitalini yeye, uhaba wa madawati yeye, kufeli katika masomo yeye, polisi kuua watu yeye, TISS kuwang'oa wananchi kucha na meno yeye, wanajeshi kuwapiga raia yeye, kuzurura nje kwa Raisi yeye na, na...
Bavaria, je unakubaliana na Mzee Mwanakijiji kuwa kama ni kuvunjika ni heri CCM ivunjike haraka taifa lipate nafuu kwa kuondokana na yote niliyoyataja hapo juu?
Gwalihenzi,Pasco, hujawahi kuwa "realist" kama unavyojigamba! badala yake wewe ni "oppurtunist" mkubwa uliyekosa aibu. Hujawahi kuandika chochote ambacho ni "realistic" zaidi ya kujikomba kwa watawala na vibaraka wao. Ushahidi ni hiki ulichokiandika hapa. Hoja ya Mwanakijiji ni CCM kuvunjika na wala hajasema upinzani kuchukua nchi, wewe ulivyompuuzi unakuja na hoja zako na kuzipandikiza kwa mtoa hoja. Wapi Mwanakijiji kazungumzia CHADEMA? Ni waandishi wa habari ya kariba yenu ndio mnayeiabisha taaluma ya wanahabari kwa mawazo fyongo na duni kama haya. Najua unajipendekeza ili usogee sebuleni kwa watalawala. Na bado hujapewa tenda ya kuwachafua wagombea wengine kwa kalamu yako.
Wakati wa Nyerere labda ni historia kwako wewe, mimi nilikuwepo na nnadiriki kusema kuwa hakuna Rais wa Tanzania aliyechukiwa na kutaka kupinduliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.
Sijui MMK anamaanisha kile hii picha inaongea!Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.
Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.
Hili liko wazi kabisamikeimani lakini ni kwa ajili ya wale ccm waliopendekeza sehemu ya 'tunu za taifa' kuwemo katika Katiba Mpya. Tatizo ni kuwa 'king makers' wana mikataba yao ambayo wana 'ccm-imani' wengi hawaijui vizuri na utekelezwaji wake ulishafanyika nusu kwa hiyo hii sehemu iliyobakia isipotekelezwa hata siri za awali zinaweza kuvuja na kusababisha matatizo zaidi kwa 'ccm-maslahi'!Jamaa hawezi gombea nje ya ccm. Nguvu yake iko kwa baadhi ya viongozi wa ccm. Na nina waswas kama hata hao wanaweza kumpa kura siku ya uchaguz mkuu akigombea urais.
Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.
Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.
Simtetei lowasa nataka tujiongeze tu kifikra, je akikatwa lowasa chamani ufisadi utakuwa umefikia ukomo!?
Umenena kweli. CCM ikiondoka mbadala ni nini? Vyama vilivyopo hata mgombea wa urais hawana. Sasa nchi itakabidhiwa kwa nani? Naona CCM itaendelea kutawala hata akikatwa mtu.
Walitabiria vyama vingine kufa lakini leo naukumbuka na naanza kuuona ule msemo wa Kiha kwamba 'ulusabhira mukaso rukadyanyoko'maanayake unamuombea kifo mamayako wa kambo lakini kifo kikampitia mamayako mzazi!.Ccm ife tu tugawane mbao,ife tugawane viwanja vya mpila vifanyiwe maombi kuondoa nuksi ya dhuruma Ili Taifa srmtars nayo itupe heshima.Ccm ife tu watanzania tufaidi rasilimali zetu wote kuliko watoto wa wana Ccm tu.Mungu ibariki Tanzania
What kind of argument is this you moron? So Mungu alivyoiadhibu sodoma na gomola dhambi na uasherati vilikoma? Lakini kwanini hakuwaacha kama alijua havitakoma?
Kweli Division 5 ni wengi...