CCM itaongea na Wanahabari kuanzia saa 6 mchana huu

CCM ilikuwa ni ya Magufuli tu.
haya mengine ni manyang'anyi na majizi ya rasilimali za wananchi.
Magufuli ndiye actually ameiua CCM. Inasubiri tu kuzikwa kama yeye.

Transformation ya chama aliyofanya Magufuli ni hii:

1. Siro ndiye msemaji mkuu wa chama
2. Mutungi ndiye mwanasheria wa chama
3. NEC (tume ya uchaguzi) ndiyo imekuwa NEC (halmashauri ya chama)
4. Kamati Kuu alikuwa ni Magufuli mwenyewe
5. Kitengo cha greenguard alikabidhiwa Bashite
6. Magazeti ya chama yakawa si tena "Uhuru" & "Mzalendo" bali "Tanzanite" & "Fahari Yetu"
 
Back
Top Bottom