kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,151
- 3,088
Kuna watu huwa hawajali waliyoyafanikisha (Achieved) kwenye maisha Yao!
Bora wangempa Board Chairman wa TPA, TCRA, Ngorongoro, etc au hata Uwaziri wa Kuteuliwa...
Kuna watu huwa hawajali waliyoyafanikisha (Achieved) kwenye maisha Yao!
Rais haramu na makamu wake haramu, bado kidogo watazichapa hadharani.who is running the country, sasa hivi? raisi na makamu wake sijawasikia muda sasa? …
Tena!!!Rais haramu na makamu wake haramu, bado kidogo watazichapa hadharani.
Umepost ili nini?
Hujasoma mada au?Unayoizungumzia ni CCM au CHADEMA ?
Unafananisha UN na ushuzi?Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana
Embu fafanua with vivid examples, chama kimesambaratikaje?Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Shida yenu watu wa CCM mitandaoni ndiyo hili,kukurupuka... Kuna mahali nimesema CCM imesambaratika?Embu fafanua with vivid examples, chama kimesambaratikaje?
Wamemwachia Mwiguru na yeye badala ya kuendesha mambo kama waziri mkuu amejivika ukatibu mwenezi wa ccm anapiga propaganda tu majukwani, serikali bado iko kwenye hangover ya uchaguzi.who is running the country, sasa hivi? raisi na makamu wake sijawasikia muda sasa? …
Na ni kweli hujui unapayuka tu.Sijui!!
Mkuu una jicho la kipekee hasa ulivyotumia reverse 😜 Kwa kweli CHADEMA hawana pa kushikaViongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Makamu anajua michezo ya mkwere alomfanyia lowasa na sasa hivi alivyoshika remote inabidi aende naye kwa umakini.Rais haramu na makamu wake haramu, bado kidogo watazichapa hadharani.
Na kimalizikie kuzimu harakaViongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
YEEES... inachezwa chess mabwege yapo bize kuisakama CHADEMA.Makamu anajua michezo ya mkwere alomfanyia lowasa na sasa hivi alivyoshika remote inabidi aende naye kwa umakini.
Duh. Kwanini Kuna Nini ndani ya Chama chetu pendwa??? Mbona sielewi
Wewe unaona kuna kitu?Duh. Kwanini Kuna Nini ndani ya Chama chetu pendwa??? Mbona sielewi
Niongezee na wezi wa box lakuraWiki moja iliyopita nilikuwa naongea na kiongozi mmoja wa mkoa, wa CCM, akawa analalamikia yaliyofanyika, akasema kuwa mauaji hayo yamewafanya wanaCCM kuonekana ni wauaji. Akadai kuwa huko mkoani kwake hawezi kuvaa nguo ya CCM, kwani ukivaa tu, watu wanakunyoshea vidole na kumuita muuaji. Akasema kuwa kama watu wanaamini kuwa wewe ni muuaji, ina maana wanaweza kukufanya chochote.
Chama kiilikuwa na misingi yake sasa imetikiswa na kungolewa mbele ya macho yao.Ndo maana hakuna mwenye nguvu wa kukemea na ukidhubutu unanyoshewa kidole kwamba uko mlengo wa upinzani.Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Ni mwendo wa kuparurana machoni, damu za watanzania zipo juu yao wote.Unayoizungumzia ni CCM au CHADEMA ?
Chama hata uwe akili gani utakutana na vikwazo vya hakina kibajaj, msukuma na wengine wengiMimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana