Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,144
- 162,539
Wacha yauane
Duhtofautisha chama na genge la wahuni ccm ilishajifia kitambo
Tutaona huko mbele ukweli wa haya madai.Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Muda ni Mwalimu mzuri na huwezi kufunika moto kwa majani makavu...Tutaona huko mbele ukweli wa haya madai.
DP World.who is running the country, sasa hivi? raisi na makamu wake sijawasikia muda sasa? …
Ufalme umefitinikaViongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Na hautasimama!!Ufalme umefitinika
Hivyo vyeo vya akina migiro ni geresha chama ni cha mwenyekitiMimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana
Hofu imetanda nipo Lumumba hapa watu hawanywi majinya dispenserViongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Kama kimetekwa hao waliokiteka si ndiyo wanakiendesha? Shida Iko wapi kama hakijafutwa na Msajili!!!Chama kimetekwa nyara!!
Bwana wee!!!Kama kimetekwa hao waliokiteka si ndiyo wanakiendesha? Shida Iko wapi kama hakijafutwa na Msajili!!!
Kama mazuri vile.
Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Kikufe tu.Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Huyo nae sijui ni uoga? Alishindwa nini kukataa.Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana
Huyo nae sijui ni uoga? Alishindwa nini kukataa.
Haki huinua taifaMungu ataamua ugomvi kati ya CCM na Raia wa Tanzania bila chenga( in Nape voice)
Kuna watu huwa hawajali waliyoyafanikisha (Achieved) kwenye maisha Yao!Kutoka Naibu Secretary wa UN hadi kuwa Secretary wa Chama Tawala. Hiyo nayo inafikirisha