Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,794
- 10,898
Asha kawekwa hapo na Mzee kwa KAZI maalumu, chama kina wenyewe hichoMimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana