Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Okay, lakini kwa nini afiche, au unaogopa akijurikana anaweza kutekwa na kuteswa?
mimi ni mwana ccm wa kudumu. nashangaa chama chetu kinachukiwa kana kwamba ni chama cha kighaidi wakati ndio chama kilichotuletea uhuru toka kwa mkoloni. naona kujua sababu kuu zinazoifanya chama mama kuchkiwa kiasi hiki na wananchi hasa vijana? nawasilisha.
Chaguzi za jana, zinaendelea kudhihirisha uliyoyasema baada ya uchaguzi mkuu.
Sorry Mkuu Superman, nilikuwa napitia tuu baadhi ya threads za zamani, nikakutana na hii kitu, japo ni issue ya siku nyingi three years back, bur its still valid, mimi ni mtu wa on off hapa nyumbani naweza kuwa nilipitwa!, hivi kile chakula tuliokuwa tunakisubiria mezani, wakati kilipokuwa kinapikwa, kiliiva?, kilipakuliwa? na kililiwa?.Pasco, binafsi nadhani bado haumtendei haki Dr. Slaa. Sisi tuko mezani tunasubiri chakula, Dr. Slaa yuko jikoni, kuchelewa kufika kwa chakula haina maana kuwa ametunyima nafasi ya kula. Alishaongea kuwa kuna data anakusanya. Several times mwenyewe amesema si mtu wa kukurupuka bali huja na facts mkononi. Hebu tuwe wavumilivu tumpe nafasi.
Mkuu Ngongo, kupasi mtihani wowote kunategemea maandalizi!, na ushindi katika uchaguzi wowote kunategemea kujipanga!, concentration ya wengi ni kwenye uchaguzi mkuu wa 2015, ambao tutapata, rais wabunge na madiwani, lakini kabla ya uchaguzi mkuu, tunauchaguzi wa serikali za mitaa 2014!, huu ni uchaguzi muhimu kuliko uchaguzi mkuu kwa sababu ndio unaoweka grass root level ya uongozi kunyooshea mapito ya wanao kuja!. Kitu kinachoichoitwa "Diverting Attention na Delaying Tactics" pia ni mbinu za medani kwenye uwanja wa vita vya kisiasa, kumkeep busy adui yako kwa issues zozote ambazo zita divert attention yake kwa jambo muhimu lililopo mbele yake, ili muda wa ku stike ukifika, unafanya surprise attack (ambush) kwa kushutukiza, hivyo kumkuta adui hajajiandaa, na kumpiga hadi kumshinda kiulaini!.Mkuu Pasco aliliona tatizo la CDM kila alipojaribu kuliaddress alizomewa akapachikwa majina mabovu uchaguzi wa udiwani Pasco ni mshindi CDM wamebeba aibu.
Nimeikumbuka hii, miliisema 2010, leo ni 2013, bado naisema tena!.Wanabodi,
Nikiwa hapa Dom, nimebahatika kukutana baadhi ya wabunge wapya wa CCM na wa kambi ya upinzani, kujaribu kufahamiana, sio siri, baadhi yao hawana hata substance ya ni nini kilichowafanya washinde,
Nilipoongea na baadhi ya wale makamanda waliokata magogo kanda ya ziwa, nimewaona ni wa kawaida tuu, hivyo nimefikia jibu moja la uhakika, kuwa CCM katika baadhi ya maeneo, imechokwa mpaka basi!, upinzani hata ungesimamisha jiwe, lingechaguliwa!
Hakuna ubishi, Chadema imenyanyuka, toka wabunge 5 mpaka 22 wa kuchaguliwa tena majimbo ya haja, huku sio kukua bali ni kupaa, tatizo kubwa la Chadema, bado hawajipanga.
Kichama, wanachadema mkubali msikubali, chama chenu japo kipo juu, lakini bado hamjajipanga.
Niliwahi kusema Chadema haijajipanga!, sasa nafuatilia kwa makini jinsi inavyojipanga kuelekea 2015!.Wanabodi,
Dawa pekee ya kuitibu CCM, ni kuirevamp CCM completely, task nambari moja ni Makamba should go first with his old guards team. Msisubiri mpaka uchaguzi mkuu wa chama chenu, miaka miwili ijayo (2012), itakuwa too late. If you are to du anything, doi it now and fast!. Leteni fresh blood kina January type, Kippi, Nape type and the like ambao wanaweza siasa za kisasa za dot com type.
Hakuna ubishi, Chadema imenyanyuka, toka wabunge 5 mpaka 22 wa kuchaguliwa tena majimbo ya haja, huku sio kukua bali ni kupaa, tatizo kubwa la Chadema, bado hawajipanga.
Kichama, wanachadema mkubali msikubali, chama chenu japo kipo juu, lakini bado hamjajipanga kwa sura ya kitaifa.
Kwa vile CCM imekaa mkao wa kifo, hii ndio opportunity yenu kujipanga muwe na sura ya kitaifa, Watanzania wawamini wawakabidhi nchi mwaka 2015.
Kwanza Freeman Mbowe, ajiuzulu uenyekiti, ampishe Dr. Slaa kwenye Usukani, Katibu Mkuu mpeni Zitto, hii itaifuta ile dhana ya nepotisim kwenye chama chenu, ili Walioichoka CCM wawafungulie mikono kwa kujitokeza kuwapigia kura 2015.
Kitendo cha kuihodhi kambi ya upinzani Bungeni, huu ni udhaifu mkubwa ambao hautawafikisha mbali. Pamoja na kanuni za bunge kuruhusu Chadema kuunda kambi rasmi ya upinzani, Chadema peke yenu hamuwezi!.
Kama CCM iko ICU na Chadema haijajipanga, spika ndio huyo mama ma over confidence na over reaction, 2015 tutegemee nini?.