johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,873
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.
Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)
Nawatakia Sabato yenye baraka!