Dkt. Slaa na Prof. Lipumba CCM iliwatumia kwa muda mfupi sana 2015 kisha ikawatema wakaishi kwa huruma binafsi ya Hayati Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,984
142,002
Project ya CCM ilikuwa ni kuwatumia Dr Slaa, Prof Lipumba na Mchungaji Mtikila kuhakikisha Lowassa hashindi urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015.

Uchaguzi ulipoisha na hiyo project ikakamilika CCM ikawatelekeza baada ya kudaiwa Lowassa alipata kura za kutosha mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni ila Binadamu akazichakachua.

Hivyo ni huruma binafsi ya Shujaa Magufuli ndio akamrudishia Prof. Lipumba Chama chake cha CUF na Dkt. Slaa akapewa zawadi ya Ubalozi.

Nawatakia Sabato Njema 😄
 
............... macho ya Mungu.
Nyie pipo mna utani sana na Sir God
 
Ukweli haujifichagi baadae huonekana kama Jo inavyo uanika Sasa
Anaye bisha anise CCM ni mafioso Sana inapo fika kujitetea
Ilimpoteza Salim Ahmed Salim Kwa umafya kumpachika uhazibuli na hii dhambi Jk lazima afenayo na ndiyo inawatesa na Lowasa mpaka mwisho wa Dunia
 
Project ya CCM ilikuwa ni kuwatumia Dr Slaa, Prof Lipumba na Mchungaji Mtikila kuhakikisha Lowassa hashindi uRais wa JMT 2015

Uchaguzi ulipoisha na hiyo project ikakamilika CCM ikawatelekeza baada ya kudaiwa Lowassa alipata kura za kutosha mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni ola Binadamu akazichakachua

Hivyo ni Huruma Binafsi ya Shujaa Magufuli ndio akamrudishia Prof Lipumba Chama chake cha CUF na Dr Slaa akapewa Zawadi ya Ubalozi

Nawatakia Sabato Njema 😄
Kama mtu umeamua kuwa condom Sasa ulitakaje?
 
Kwangu haipandi hiyo hoja yako. Aliyetibua ni Mbowe kumkaribisha Lowasa; yote haya kwa Slaa hayangetokea. Ule mwaka Mbowe alitibua sana kuhusu hili ingawa namkubali.
 
Write your reply...MBOWE ndye aliyeuza chama kwa fisadi luwasa.luwasa alitumika na ccm kusambaratisha chadema.wananch walishwdwa kuelewa kati ya chadema na ccm.wakaona wote ni walewale.luwasa fisadi gafla luwasa c fisadi.aise hakuna mtoto.huu ni utoto
 
Project ya CCM ilikuwa ni kuwatumia Dr Slaa, Prof Lipumba na Mchungaji Mtikila kuhakikisha Lowassa hashindi urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015.

Uchaguzi ulipoisha na hiyo project ikakamilika CCM ikawatelekeza baada ya kudaiwa Lowassa alipata kura za kutosha mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni ila Binadamu akazichakachua.

Hivyo ni huruma binafsi ya Shujaa Magufuli ndio akamrudishia Prof. Lipumba Chama chake cha CUF na Dkt. Slaa akapewa zawadi ya Ubalozi.

Nawatakia Sabato Njema 😄
Halafu Dr Slaa kavuliwa ubalozi na wajinga wengi wamefungua threads humu kumtetea.

Hivi ukimpa malaya hela ukamlala, unapomuambia aondoke aende zake kuna sababu ya mtu mwingine kukulalamikia?

Maisha ya Dr Slaa ni sawa na maisha ya malaya tu
 
Tupunguze Chuki Binafsi!
 
Halafu Dr Slaa kavuliwa ubalozi na wajinga wengi wamefungua threads humu kumtetea.

Hivi ukimpa malaya hela ukamlala, unapomuambia aondoke aende zake kuna sababu ya mtu mwingine kukulalamikia?

Maisha ya Dr Slaa ni sawa na maisha ya malaya tu
Subhanallah!🤔
 
Project ya CCM ilikuwa ni kuwatumia Dr Slaa, Prof Lipumba na Mchungaji Mtikila kuhakikisha Lowassa hashindi urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015.

Uchaguzi ulipoisha na hiyo project ikakamilika CCM ikawatelekeza baada ya kudaiwa Lowassa alipata kura za kutosha mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni ila Binadamu akazichakachua.

Hivyo ni huruma binafsi ya Shujaa Magufuli ndio akamrudishia Prof. Lipumba Chama chake cha CUF na Dkt. Slaa akapewa zawadi ya Ubalozi.

Nawatakia Sabato Njema
Hawakutumika bure walilipwa lakini kwa kurubuniwa, pesa iliingia kwenye account zao kisha ikapigwa.. Hawakuifaidi ... Waliingizwa cha city
 
sisi sio milima, tutakutana, tukiwa kama pipo tutasomana..... slaa aliondoka kwa mbwembwe sana leo anategemea nguvu ya umma ya upinzani ndio im_back up.. anyway kwenye kuikosoa ccm tutakuunga mkono lakini kwenye mapigo utapigana pekeako
 
Nguvu ya Umma siyo Chadema 😂
 
Back
Top Bottom