CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Kabla Kikwete hajachukuwa uongozi ni asilimia 10 ya Watanzania walikuwa na umeme kwa miaka yote hiyo kabla yake. Juingia yeye kwa miaka 9 tu sasa, Watanzania asilimia 35 wana umeme. Dogo hilo:

Hizi ndio zile nguzo ambazo mafisadi wa CCM wanazipeleka nje kisha wanazirudisha tena nchini na kusema ni Importation then wana-charge bei kubwa??
 
Mkuu Shark ndio hizi hizi hawa watu hawafai kwa mvua au jua
 
Hizi ndio zile nguzo ambazo mafisadi wa CCM wanazipeleka nje kisha wanazirudisha tena nchini na kusema ni Importation then wana-charge bei kubwa??

CCM si kazi yake kununuwa na kuuza nguzo, kumbuka hilo.

Kama kuna mjomba'ko au shangaziyako ni mwizi huko wanakonunuwa hizo nguzo basi huyo si wa kutokea CCM.
 
Ccm ndio janga walilotupelekea nakutufikisha hapa pabaya

Wamekufikisha wapi, kwenye neema? Kama ni kwenye upuuzi umejifikisha mwenyewe.

Binaadam mnaoweka kamati na vikao vya kuchangishana fedha za harusi na maziko halafu mnajiuliza kwanini sisi masikini? Khaa!

Kwa upuuzi kama huo halafu muilaumu CCM?
 
Muda mwingine upinzani unasaidia kuelimisha jamii lakini muda mwingine unasaidia kupotosha jamii....
Kwa bei hizo basi tutaikimbia nchi yetu.:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
CCM si kazi yake kununuwa na kuuza nguzo, kumbuka hilo.

Kama kuna mjomba'ko au shangaziyako ni mwizi huko wanakonunuwa hizo nguzo basi huyo si wa kutokea CCM.

Kununuwa = kununua.

Waziri mwenye dhamana ya kusimamia TANESCO anatoka chama gani? Na anateuliwa na Rais kutoka chama gani?

Sina mjomba au shangazi ambae ni gamba!!
 
Wamekufikisha wapi, kwenye neema? Kama ni kwenye upuuzi umejifikisha mwenyewe.

Binaadam mnaoweka kamati na vikao vya kuchangishana fedha za harusi na maziko halafu mnajiuliza kwanini sisi masikini? Khaa!

Kwa upuuzi kama huo halafu muilaumu CCM?

Kwa ufisadi wa ccm ndio tumefika hapa tulipo
 
Muda mwingine upinzani unasaidia kuelimisha jamii lakini muda mwingine unasaidia kupotosha jamii....
Kwa bei hizo basi tutaikimbia nchi yetu.:confused2::confused2::confused2::confused2:
Kwani wewe ujaelewa ccm imetufikisha wapi
 
kweli kabisaa serikali hii imechoka ,wwe fikiria kuna idara moja tena nyeti ipo wizara ya mambo ya ndani inahusika na usalama wa nchi hadi hajalipwa posho , kwa hali hii wahamiaji haramu watafanya tz kama shamba la bibi, kule kagera hadi wanajiindikisha kwenye daftari la kupiga kura , na hiyo idara ipo sasa wako kimya, maana serikali haina pesa
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

mafuta yaliporomoka alafu dollar ikapanda. eti eee yan mmeacha kuongeza kodi kwenye vitu vya anasa kama bia na soda mnakuja kuongeza kwenye nishati ili kila sector ipande garama alafu iweje sasa
 
yan ccm wenyewe wanazidi kutuongezea sababu kwanini tuwaondoe madarakani
 
Muda mwingine upinzani unasaidia kuelimisha jamii lakini muda mwingine unasaidia kupotosha jamii....
Kwa bei hizo basi tutaikimbia nchi yetu.:confused2::confused2::confused2::confused2:

Sio upotoshaji. Kama ungefikiri kidogo ungegundua kuwa vitu vingi hadi raw materials zinatoka nje. Unaweza kuona thamani ya Sh.Kwa Dola leo? Ikifika January mwakani itakuwa sh.ngapi? Usikurupuke. CCM ni janga.
 
Back
Top Bottom