CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Ccm imechoka na hawastahili kupewa dola,tatizo ni mfumo mzima!Ajitokeze mtia nia yeyote ambaye atasema hadharani kuwa atafumua mfumo mzima wa ccm,kusiwe na watu wanaoamini kuwa ccm ina wenyewe(vigogo).
 
wengi hawaielewi hii baujiti wamezoea bujeti zilizo wazi hii inaitagi kusoma ndo uielewe, wengi wanachagia hii bajeti kwa kukurupuka tu,soma uelewe ndo uchangie.
 
Wewe kweli zero.

Pole sana. Ngoja nikusaidie.

Ukiuza wewe bidhaa nje, directly na idirectly kuna msururu wa Watanzania wanao support biashara yako. Wabebaji watengenezaji, wafungaji, wasafirishaji, mishahara, marupurupu wote hao wao na familia wanafaidika kwa namna moja au nyengine kupitia wewe msafirishaji mmoja.

Your level of thinking is shallow and one dimentional ndiyo maana mara nyingi watu hawakuelewi ............. Think Tank wa CCM. Arguments zako ni za kiushbiki shabiki tu!!
 
wengi hawaielewi hii baujiti wamezoea bujeti zilizo wazi hii inaitagi kusoma ndo uielewe, wengi wanachagia hii bajeti kwa kukurupuka tu,soma uelewe ndo uchangie.
 
Shilingi yetu inashuka thamani kwa speed inayokaribiana na Safari za Rais wetu kwenda nje ya nchi
Kupandisha tozo mafuta ambayo hata huko mbele bei zimeanza kupanda ni ishara kutokea ongezeko kubwa kuliko ilivyokuwa mwanzo.

Ikumbukwe mafuta sio kitu pekee kinachopelekea kupanda kwa nauli, bali kushuka thamani kwa pesa yetu inapelekea kuhitajika shilingi yetu nyingi kuagiza vipuri vya magari. Kwa sababu hiyo jumlisha na ongezeko la bei ya mafuta nauli kupanda lazima.
 
Wamekufikisha wapi, kwenye neema? Kama ni kwenye upuuzi umejifikisha mwenyewe.

Binaadam mnaoweka kamati na vikao vya kuchangishana fedha za harusi na maziko halafu mnajiuliza kwanini sisi masikini? Khaa!

Kwa upuuzi kama huo halafu muilaumu CCM?

Nilichogundua ccm wengi kama huyu bibi wanaamini wote wanaotoa maoni humu jf kupingana na mtizamo wa ccm ni basi ni wanachama wa vyama pinzani!
Kuna watanzania wengi tu humu jukwaani wasio wakereketwa wa vyama ila wanayaona maovu ya ccm na kuamua kusema!
Faiza anasema kama uko kwenye umaskini ni ujinga wako mwenyewe!Hili linaweza kuwa sawa katika mantiki kuwa umeshindwa hata kuliibia taifa!Ndiyo,tumeona watu wananeemeka kwa ufisadi kila mahali!Ni nani asiyejua kuwa ugonjwa mkubwa wa nchi hii ni ufisadi?
Pia anasema kama umefika kwenye neema ni kwa sera za serikali,vp lindi la matajiri waliofika huko kwa ufisadi?Ndiyo hizo sera?eeeeh kwasababu tunaona mafisadi wanasamehewa!
Hivi anajua ni watu gani wanaomudu kugharamia hizo harusi?
Watu kama hawa wananufaika na mfumo na kama hanufaiki yupo yupo tu basi ni mwendawazimu!
Aliye kwenye kivuli ni vigumu kumkumbuka aliye juani!
Rai yangu kwa watanzania ni kufanya mabadiliko,wakati ni sasa!
NB;Kama wewe ni maskini basi umefika hapo kwa ujinga wako
;kama wewe ni tajiri basi umefika hapo kwa sera za ccm
by faizafoxy
 
CCM si kazi yake kununuwa na kuuza nguzo, kumbuka hilo.

Kama kuna mjomba'ko au shangaziyako ni mwizi huko wanakonunuwa hizo nguzo basi huyo si wa kutokea CCM.

Kuna kodi ya tozo kwa bidhaa zinazotoka nje imepanda,unategemea wafanyabiashara wafanye nini kama sio kupandisha bidhaa?

Bajeti hii tirio 22.3, deni la nje ni tirioni 38.2 huelewi kuwa itakuwa ya kulipa madeni ,na shughuli za maendeleo haziwezi kufanyika kama ujenzi wa nyumba za walimu,ujenzi wa miundo mbinu,kilimo,viwanda, na maji yanayoahidiwa yatakuwa sifuri?

Sielewi umesoma shule ipi,
 
Ewe punguani bidhaa ipi hiyo zaidi uPVC na Hpdp ambazo kwa sassa hivi zinazalishwa Tanzania kwa wingi na tozo hilo la kodi limelenga kulinda viwanda vinavyozalisha hizo bidhaa, na kama kuna nyengine yoyote iliyongezwa tozo basi sababu ni hiyo hiyo. Ni nini usichokielewa hapo?

Deni huwa halilipwi mara moja - kumbuka hilo, huku unafuta ya zamani huku unaendelea kukopa, life goes on.

Tatizo lenu hamfahamu kuhusu madeni ndiyo maana mnaendelea kuwa masikini hohehahe, muulizeni Mengi kuhusu madeni awape darsa. Mhasibu yule.
 
Nilichogundua ccm wengi kama huyu bibi wanaamini wote wanaotoa maoni humu jf kupingana na mtizamo wa ccm ni basi ni wanachama wa vyama pinzani!
Kuna watanzania wengi tu humu jukwaani wasio wakereketwa wa vyama ila wanayaona maovu ya ccm na kuamua kusema!
Faiza anasema kama uko kwenye umaskini ni ujinga wako mwenyewe!Hili linaweza kuwa sawa katika mantiki kuwa umeshindwa hata kuliibia taifa!Ndiyo,tumeona watu wananeemeka kwa ufisadi kila mahali!Ni nani asiyejua kuwa ugonjwa mkubwa wa nchi hii ni ufisadi?
Pia anasema kama umefika kwenye neema ni kwa sera za serikali,vp lindi la matajiri waliofika huko kwa ufisadi?Ndiyo hizo sera?eeeeh kwasababu tunaona mafisadi wanasamehewa!
Hivi anajua ni watu gani wanaomudu kugharamia hizo harusi?
Watu kama hawa wananufaika na mfumo na kama han
ufaiki yupo yupo tu basi ni mwendawazimu!
Aliye kwenye kivuli ni vigumu kumkumbuka aliye juani!
Rai yangu kwa watanzania ni kufanya mabadiliko,wakati ni sasa!
NB;Kama wewe ni maskini basi umefika hapo kwa ujinga wako
;kama wewe ni tajiri basi umefika hapo kwa sera za ccm
by faizafoxy

Huo ndiyo ujinga unaowafanya muendelee kuwa masikini na au muanze kufanya ujambazi na uharamia. Fikra zenu ni kuwa kila mwenye mali kaiba.

Huo ni ufubaa wa akili.

Jiulize hakuna matajiri ambao wako upinzani> Mtei, Mbowe, Ndesamburo?

Jee, hakuna matajiri amabo hawana chama cha siasa?

Wote hao wezi? au hao ni malaika na wezi wapo CCM tu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Your level of thinking is shallow and one dimentional ndiyo maana mara nyingi watu hawakuelewi ............. Think Tank wa CCM. Arguments zako ni za kiushbiki shabiki tu!!

Thinking capacity yangu ni above average by any standards, ndiyo maana watu kama wewe na Watanzania wengi hawawezi nielewa.

Way way beyond your thinking capacity Mr. Zero.
 
mafuta yaliporomoka alafu dollar ikapanda. eti eee yan mmeacha kuongeza kodi kwenye vitu vya anasa kama bia na soda mnakuja kuongeza kwenye nishati ili kila sector ipande garama alafu iweje sasa

Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.

Hata ufahamishwe vipi huwezi kuelewa, tatizo si wewe ni shule ulijifundisha ujinga au ni wa kuzaliwa nao na hakuna shule utayokwenda itaweza kuufuta.

Pole sana.
 
Kununuwa = kununua.

Waziri mwenye dhamana ya kusimamia TANESCO anatoka chama gani? Na anateuliwa na Rais kutoka chama gani?

Sina mjomba au shangazi ambae ni gamba!!

Mawaziri wanaosimamia nchi nzima wanatoka CCM.

Nenda jela ukaone walivyojaa wanaotumwa na hao mawaziri kuiba.
 
Thinking capacity yangu ni above average by any standards, ndiyo maana watu kama wewe na Watanzania wengi hawawezi nielewa.

Way way beyond your thinking capacity Mr. Zero.

Wishful thinking!!

Probably, above average in your family!!
 
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.

Hata ufahamishe vipi huwezi kuelewa, tatizo si wewe ni shule ulijifundisha ujinga au ni wa kuzaliwa nao na hakuna shule utayokwenda itaweza kuufuta.

Pole sana.

jibu hoja we memba wa ISIS
 
Kweli wewe kilaza,
Viwanda gani unalinda?
Mmeua viwanda vya nguo,vya ngozi,na hata vya magunia na matairi,leo mnatoza vitu juu ili kulinda kiwanda gani?

Ccm ni nzige!

QUOTE=FaizaFoxy;12988011]Ewe punguani bidhaa ipi hiyo zaidi uPVC na Hpdp ambazo kwa sassa hivi zinazalishwa Tanzania kwa wingi na tozo hilo la kodi limelenga kulinda viwanda vinavyozalisha hizo bidhaa, na kama kuna nyengine yoyote iliyongezwa tozo basi sababu ni hiyo hiyo. Ni nini usichokielewa hapo?

Deni huwa halilipwi mara moja - kumbuka hilo, huku unafuta ya zamani huku unaendelea kukopa, life goes on.

Tatizo lenu hamfahamu kuhusu madeni ndiyo maana mnaendelea kuwa masikini hohehahe, muulizeni Mengi kuhusu madeni awape darsa. Mhasibu yule.[/QUOTE]
 
A very good analysis huo ndio ukweli mtupu.ujanja ujanja wa serIkali ya makanjanja ndio taabu inayotukabili
 
Back
Top Bottom