CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Fuso mbili chakavu kwa millioni 600, mimi ningekuleteeni 20.

Nyumba ya hawara mabwepande, saccos!

Mbali ya zile za Dubai na London.

Sasa msikilize kiongozi wa wasafirishaji ambaye anasema kupanda mafuta,kumesababisha kupanda vipuri na usafirishaji vinapanda

Angalia ITV na Ufosaloo

Wewe uliyemgumu kuelewa!
 
Huko Meatu maskini akina mama watembea maili 20 kuandamana kwenda kwa mkuu wa Wilaya ya Meatu,kumuuliza watoto wao taifa la kesho 6 wameuawa kwa kupigwa risasi lakini ccm kimya.wao na chadema tu!

Kule Tunduru hakuna rami,huku ufisadi ukitawala!
 
Ancient regime is about to get down.Najaribu kuchunguza soon ntakuja na feedbacks kwa wale wanaopinga chama pinzani wanakljishughulisha na nn mostly are u wealthy????,Are u living in Tanzania??. Au wazaz wenu wana vitengo ofisi za serikali za mitaa or mjumbe wa nyumba kumi am kind of stranded.
 
Mkuu hao wanao pinga Chama pinzani wanayofanya ukijua unaweza lia na hasira ikakupata kubwa sana
 
Adhari nyingine ni hii,unapoongeza gharama ya mafuta,unasababisha kuongezeka kwa gharama za uzalishaji hivyo ili wafanyabiashara wapate faida lazima wapunguze wafanyakazi!

Pili, kutokana na kuongezeka kwa bei ya mafuta,gharama ya bodaboda itaongezeka,na kwa kuwa gharama ya nauli za bodaboda na tax zitaongezeka,bivyo wamiliki wa pikipiki watapunguza madereva,hivyo ajira itapungua!

Wengi wataachana na bodaboda! ,na ndio bomu litakalolipuka!
 
Sio upotoshaji. Kama ungefikiri kidogo ungegundua kuwa vitu vingi hadi raw materials zinatoka nje. Unaweza kuona thamani ya Sh.Kwa Dola leo? Ikifika January mwakani itakuwa sh.ngapi? Usikurupuke. CCM ni janga.

Tatizo jina lako linakuponza mfamaji hauishi kutapatapa sasa unaulumu CCM ndo imekwambia ubweteke wewe fanya kazi kwa bidii machungu ya dola kupanda na kushuka hayato kuumiza. Unalaumu Dola kupanda wakati unatumia TSH.
 
Wacha kujibandika ubongo wa Fisi ccm ni janga kuu
 
Wacha kujibandika ubongo wa Fisi ccm ni janga kuu
Tatizo kwangu sio CCM bali ni kushangaa kuona vijana bado mnajifanya wachambuzi wa Siasa na kukotoa mahesabu yasiyo wezakana. Tanzania nzima hakuna chama au mwanasiasa anaye weza kubadilisha maisha yako hata siku moja. Mfano; usipo pigana kufanya kufanya kazi kwa bidii leo hata hiyo USD ikishuka hadi 500 bado utaona ni janga kwako.....Tafakari
 
Wamepandisha bei ya mafuta,ili maskini aendelee kuwa maskini,na kisha aendelee kupiga makoti apewe tshirt,vilemba na kofia za ccm na kupigia ccm
Ili waimbe wembe uleule!
Nzige tuwaue!
 
Tatizo kwangu sio CCM bali ni kushangaa kuona vijana bado mnajifanya wachambuzi wa Siasa na kukotoa mahesabu yasiyo wezakana. Tanzania nzima hakuna chama au mwanasiasa anaye weza kubadilisha maisha yako hata siku moja. Mfano; usipo pigana kufanya kufanya kazi kwa bidii leo hata hiyo USD ikishuka hadi 500 bado utaona ni janga kwako.....Tafakari

Mfumo wa Chama cha Mapinduzi ndio mbovu hata wafanye nini mfumo mzima ni mbovu ndio maana unayaona haya
 
Wakati mchelle sasa utapanda kutoka tsh.2000-3000 ,ndiyo yatakuwa maisha safi kwa kila Mtanzania,huku huduma bora na za msingi zikikosekana vijijini na kuwafanya watanzania wakimbilie mjini kujaribu bahati yao,

Wakifika mjini,watakutana na policcm wanaowakataza kufanya umachinga he heeeee! Ccm joka la mdimu
 
Ccm inahitajika kupumzika
 
Mwingine kakimbia hapa baada ya kuleta porpjo
Mwaka jana waliongeza( kwa akili ndogo) ,bei eti kupambana na uchakachuaji
 
Huo ndiyo ujinga unaowafanya muendelee kuwa masikini na au muanze kufanya ujambazi na uharamia. Fikra zenu ni kuwa kila mwenye mali kaiba.

Huo ni ufubaa wa akili.

Jiulize hakuna matajiri ambao wako upinzani> Mtei, Mbowe, Ndesamburo?

Jee, hakuna matajiri amabo hawana chama cha siasa?

Wote hao wezi? au hao ni malaika na wezi wapo CCM tu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Acha ujuha wewe punguan,soma content na uelewe!Ni wapi niliposema kila tajiri kaiba?Hivi upeo wako ndiyo umeishia hapo au unajilazimisha kutoelewa?Unaposema ndiyo maana mtaendelea kuwa maskini una refer watu gani?Watanzania au?Mmeshindwa hata kumkomboa mtanzania kifikra,u r a total failure!
Unaleta ushabiki wa kijinga jinga kwenye mambo yasiyohitaji mzaha!
Sasa mnawatukana maskini kuwa ni wapuuzi,nyie watu ni mashetani!
Shwain!!!!!!!!!!!!!!!!!?!
 
Mwenye macho ambiwi Tanzama Watanzania mwaka huu wanamacho makali sana nimatumaini yangu mwezi wa kumi hawatafanya kosa
 
Back
Top Bottom