CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Huyo hamtamsahau kwa kuwa hakuna aliyefanya mema zaidi kwa Tanzania hii zaidi yake, chaguwa lolote tumpime na wa kabla yake.

Una miaka mingapi?

Wapo wengi waliofsidika direct na utawala wa JK, hao wanaweza kutoka kifua mbele na kusema huyu bwana amefanya mema mazuri. Lakini kwa majority Tanzanian this guy has done nothing!
FaizaFoxy bila shaka ni m1 wa walionufaika direct ndio maana unaona km kila mtu ni hivyo!

Nonsense:sly:
 
Last edited by a moderator:

Hizo ni porojo zako na unaweza kusema uoendacho lakini weka tulinganishe na nani wa kabla yake, tena nnakupa ruksa wewee waunganishe wote kwa pamoja, nnauhakika hawatafikia hata nusu ya mema ya Kikwete.

Ukishindwa ujuwe una chuki binafsi tu na roho ya uhasidi.
 
izo ni porojo zako na unaweza kusema uoendacho lakini weka tulinganishe na nani wa kabla yake, tena nnakupa ruksa wewee waunganishe wote kwa pamoja, nnauhakika hawatafikia hata nusu ya mema ya Kikwete, ukishindwa ujuwe una chuki binafsi tu na roho ya uhasidi.

Halingani na yyt kati ya waliopita, amefanya trip za nje zaidi ya 500 utamlinganisha na nani mtu km huyo! Hata Vasco Da Gama hamfikii!
 
Naam, halingani na yeyote kati ya waliopita hawampati hata nusu hata ukiwaunganisha wote kwa pamoja. Anza mbona unashindwa?

Hiyo pekee ni faraja, si Rais wa kukaa ofisini, safari zake tumeona matunda zilizozaa, sasa hivi una Gas cubic feet trillion 55, bila hizo safari unafikiri ungewakinaisha vipi wawekezaji waliotoa mali zao kuwekeza katika huo utafiti? Fikiri.
 
Naam, halingani na yeyeote kati ya waliopita hawampati hata nusu hata ukiwaunganisha wote kwa pamoja. Anza mbona unashindwa?

Hiyo pekee ni faraja, si Rais wa kukaa ofisini, safari zake tumeona matunda zilizozaa, sasa hivi una Gas cubic feet trillion 55, bila hizo safari unafikiri ungewakinaisha vipi wawekezaji waliotoa mali zao kuwekeza katika huo utafiti? Fikiri.

Ivi bado una moyo tu wakuwafundisha watu hawa mda mwingine nakuonea hata huruma unavyopata tabu kutoa darasa kwa vichwa panzi. Ila sikukatishi tamaa Mwenyezi Mungu atakulipa kwa kile utendacho ila siku akiondaka jk ndio watajua kwamba almasi mchangani.
 
Hawa watu wanaelewa lakini ni uhasidi tu uliowajaa, wana maradhi katika mioyo yao na maradhi yenyewe ndiyo huo uhasidi walionao na hayataounguwa yanawazidia kila kitu.

Leo Tanzania kwa mara ya kwanza tuna hospitali jengo zima kwa ajili ya kutibu magonjwa mbali mbali ya moyo na vifaa vya kisasa kabisa, ni wakati huu tu wa Kikwete tumeshuhudia Tanzania ikifanya operation ya moyo bila mtu kupasuliwa kifua, yote hawaoni hayo.
 
Naam, halingani na yeyote kati ya waliopita hawampati hata nusu hata ukiwaunganisha wote kwa pamoja. Anza mbona unashindwa?

Hiyo pekee ni faraja, si Rais wa kukaa ofisini, safari zake tumeona matunda zilizozaa, sasa hivi una Gas cubic feet trillion 55, bila hizo safari unafikiri ungewakinaisha vipi wawekezaji waliotoa mali zao kuwekeza katika huo utafiti? Fikiri.

Hahahaa FaizaFoxy unajaribu kuosha mkaa ili ufanane na theruji? The has absolutely failed!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa FaizaFoxy unajaribu kuosha mkaa ili ufanane na theruji? The has absolutely failed!

= theluji

Umeshindwa unajidai kujichekesha, hauna jipya. Ni uhasidi tu, umekujaa.

Halafu hicho Kingereza ulichoandika ni kujitia aibu tu, bora uandike Kiswahili tu.
 
Ukiona umeanza ku-edit maneno badala ya kujibu hoja ni wazi unakuwa umeshikwa pabaya!

The has absolutely failed=the guy has absolutely failed...just typing error:cool:
 
Hahahahahahahaha.

Ku edit maneno ni moja katika shughuli zangu nilizojitolea, tazama signature yangu.

Wewe mpaka sasa hivi sasa umeshindwa kuleta hata moja ambalo unaona Kikwete hajalifanya zaidi ya wote.

Pole sana.
 
Ivi bado una moyo tu wakuwafundisha watu hawa tmda mwingine nakuonea hata huruma unavyopata tabu kutoa darasa kwa vichwa panzi. Ila sikukatishi tamaa Mwenyezi Mungu atakulipa kwa kile utendacho ila siku akiondaka jk ndio watajua kwamba almasi mchangani.
Bora vichwa panzi kuliko vichwa fisi
 
Hawa watu wanaelewa lakini ni uhasidi tu uliowajaa, wana maradhi katika mioyo yao na maradhi yenyewe ndiyo huo uhasidi walionao na hayataounguwa yanawazidia kila kitu.

Leo Tanzania kwa mara ya kwanza tuna hospitali jengo zima kwa ajili ya kutibu magonjwa mbali mbali ya moyo na vifaa vya kisasa kabisa, ni wakati huu tu wa Kikwete tumeshuhudia Tanzania ikifanya operation ya moyo bila mtu kupasuliwa kifua, yote hawaoni hayo.

Labda operation tokomeza mliyoleta yakuwaumiza Watanzania
 
Hahahahahahahaha.

Ku edit maneno ni moja katika shughuli zangu nilizojitolea, tazama signature yangu.

Wewe mpaka sasa hvi umeshindwa kuleta hata moja ambalo unaona Kikwete hajalifanya zaidi ya wote.

Pole sana.

Wewe unajitolea au upo kazini? Hata kusafisha na kudumia fisi unajitolea?
 
Hahahahahahahaha.

Ku edit maneno ni moja katika shughuli zangu nilizojitolea, tazama signature yangu.

Wewe mpaka sasa hvi umeshindwa kuleta hata moja ambalo unaona Kikwete hajalifanya zaidi ya wote.

Pole sana.

Moja ya lililomshinda Rais jk ni kukosekana kwa maji nchini licha ya kutenga bajeti ya maji kila siku!

Amewaacha watanzania kujichimbia mifumo yao ya maji ambayo sio salama!, kipindi cha 1922> nyuma
 
Mkuu huyu kilamba lamba wa ccm anajichanganya sana
 
Moja ya lililomshinda Rais jk ni kukosekana kwa maji nchini licha ya kutenga bajeti ya maji kila siku!

Amewaacha watanzania kujichimbia mifumo yao ya maji ambayo sio salama!, kipindi cha 1922> nyuma

Kawaulize Shinyanga na Tabora watakueleza.
 
Back
Top Bottom