Credible Viewer
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 444
- 118
Tatizo kwangu sio CCM bali ni kushangaa kuona vijana bado mnajifanya wachambuzi wa Siasa na kukotoa mahesabu yasiyo wezakana. Tanzania nzima hakuna chama au mwanasiasa anaye weza kubadilisha maisha yako hata siku moja. Mfano; usipo pigana kufanya kufanya kazi kwa bidii leo hata hiyo USD ikishuka hadi 500 bado utaona ni janga kwako.....Tafakari
Wacha kutupotosha wewe...!!!