CCK yaingia Arusha kwa kishindo

CCK yaingia Arusha kwa kishindo

Cck-chama cha kisanii. Chairman-sita, gsecretary-mwakyembe, uenezi- nape, wajumbe - olesendeka, kilango, bi sherukindo, ngwajema na mpendazowe. Mfadhiri ni kingunge ngombare. Ngwajema anomba kuwa mweka hazina aongezee hama.
 
CCK kama cha cha siasa wana haki ya kuweka mgombea Arumeru, wangekaa meza moja na Chadema waweke mgombea mmoja, kila mmoja akiingia kivyake watagawa kura na hatimaye CCM wanashinda.

Hujui kuwa CCK ni CCM B!! Ni mkakati wa wanafikiri kwamba watapigwa chini kwenye uongozi wa CCM 2012 na baadaye 2015. Hivyo wanaanza kujiandaa mapema ili yasije wakuta yale ya CCJ 2010. Safari hii mkakati umeenza mapema. Wewe huoni kwa nini wameng'ang'ana na hiyo CC....??!!!
 
[h=6]Ismail Jussa
[/h][h=6]Nimeulizwa sana kuhusu matokeo ya Uzini. Bahati mbaya kama ilivyo kawaida ya Watanzania walio wengi huwa hatufanyi utafiti, uchambuzi wala upembuzi na badala yake tunakuwa wepesi wa ku-draw conclusion. Kumekuja analysis kuwa Chadema sasa inaipiku CUF kwa kushika nafasi ya pili na wengine wakadiriki kusema kufukuzwa kwa Hamad Rashid kunakiathiri Chama. Niwarejeshe kwenye matokeo ya 2010 kwa nafasi ...ya Ubunge jimbo la Uzini ambapo CCM ilipata kura 6,651, Chadema 617 na CUF 524. Aliyekuwa mgombea wa Chadema kwa nafasi hiyo ni huyu Ali Mshimba Mbarouk ambaye amegombea Uwakilishi mara hii. Sasa kutoka kura 617 hadi 281 amepoteza mvuto kiasi gani? Isitoshe, CUF kwa kuzielewa siasa za Zanzibar hatukusumbuka kutumia fedha nyingi. Tumetumia milioni 7 tu wakati Chadema wamenambia wametumia milioni 60 (haidhuru mimi naamini wametumia zaidi kwa mambo tuliyoyaona kule). Sasa katika hali hiyo, kuna lipi jipya? Nani aliyepoteza? CUF inajua inachokifanya.

source : facebook wall ya Ismail Jussa:

kwa muktadha huu itakuwa ni ujinga uliokithiri kuiunga chadema au cuf,au ccm mkono,make washapoteza mvuto katika siasa za kistaarabu,bora cck iingie kivyake


[/h]
 
tunachokitaka hapa arusha ni siasa za kistaarabu na kampeni tulivu,malumbano hapa hayana nafasi make chadema washatuchosha na maandamano ya kutwa mara tatu!
Mmekuja kudhoofisha upinzani nini labda hizo ni mbinu za CCM, karibuni wacha mikwala!!!
 
fikra masaburi zinazaa mgandano wa mawazo na akili

nadhani masaburi ndo wewe,fanya utafiti kabla hujakurupuka mzee! ukiwa unazeeka alafu unaropoka tu,inakuwa haipendezi,ryt?
soma tena kwa makini hapa chini.

[h=6]Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba yamepitishwa huku CHADEMA wakiwa hawana cha maana walichokiambulia. Bado Marais ndiyo wanaoteua Tume. Bado Mawaziri wa Katiba na Sheria ndiyo wanaoteua Sekretarieti ya Tume. Bado Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamebaki kama walivyokuwa katika Mswada wa awali. Bado Rais wa Zanzibar ana nguvu zile zile katika kusimamia maslahi ya... Zanzibar kwenye mchakato huu. Bado Zanzibar ina nafasi zake zote zilizoingizwa awali katika kusimamia maslahi yake. Bado kura ya maoni itasimamiwa na kuendeshwa na Tume za Uchaguzi zilizopo. Bado ni kosa la jinai kuingilia au kuizuia Tume ya Katiba kufanya kazi zake. Sasa kununa na kususa kwa CHADEMA kumeleta mabadiliko yepi ya maana? [/h]
 
Mmekuja kudhoofisha upinzani nini labda hizo ni mbinu za CCM, karibuni wacha mikwala!!!


haya ndo mawazo mgando,unataka kunambia vyama vya siasa ( yaani mawazo 19) yanatosha kwa watanzania milioni 45?? fkiri vizuri we mbabu!
 
Baada ya kukamilisha safu ya uongozi wa mkoa wa Arusha,CCK inatangaza rasmi kuwa tunaingia katika uchaguzi mdogo wa Arumeru kwa ajili ya kuchukua jimbo.

Hakuna kitu, utapeli mtupu, wanaJF msidanganyike na hawa jamaa maana walipokuwa ccj tulifanya nao kazi nzuri sana na kutengeneza mtandao mzuri mno, na tukapata wanachama maelfu kwa gharama zetu bila hata shilingi kumi yao, tukahatarisha maisha yetu maana tulikuwa tunawindwa sana na ccm A maana hii ilikuwa ccmB kabla haijaporwa nafasi hiyo na cuf aka KAFU, tulitumia pesa zetu na gharama kubwa sana bila wao wenyewe kutuwezesha chochote, mwisho waanzilishi wakaamua kurudi kulamba viatu vya wakubwa!
Leo wanakuja na habari mpya, wala hawakumbuki utapeli wao! tuelewe CCK ni late CCJ, nashangaa sana M/kiti wake wa Taifa kipindi hicho na katibu wake walikuwa wanatupiga mizinga ya vocha, nauli, pesa ya kulipia guest house! mpaka leo hii nina sms zao kwenye cm yangu ya zamani ambayo sitataka kuitupa nimeiweka makumbusho maana ni aibu tupu. Ila mwenyekiti wake wa sasa Taifa sina sana tatizo naye japo alitakiwa aangalie walipoangukia na atubu. Enzi hizo alikuwa katibu mwenezi,.Mr Akitanda. Sidhani kama ni chama makini hiki.
A%20S%20embarassed.gif
Huu ni ubabaishaji mpya kwa mbinu mpya, Nimechoka nawaasa hakuna haja ya kuhangaika nacho maana ni walewale tu hawa. walikosa usajili wakaondoa J wakaweka K, kitu ni kilekile hata katiba nahisi ni ileile.
Najua watanishambulia lakini wakifanya hivyo nitaweka mambo yao yote hapa.
 
Inaonekana wewe ndo Mtoa mada. Kila cck ikijitokeza ukumbini na wewe lazima uandike Mara moja.
Kwa mini hamuwatambulishi viongoza wenu mpaka Leo???? Natia SANA mash aka na Chama chenu. Kuna usiri gain hapo.??????? Mwanzo wenu Kama hamtarekebisha mtaishia kukiua Chama. Angelia cck wacko wapi!!!??? Usiri usiri tu
Mkuu waulize wanajua walivyotendewa viongozi wa late ccj aka cck? hiki chama ni ubabaishaji mtupu na njaa tupu, nikiambiwa nikilinganishe na usafiri gani nitakifananisha na bodaboda ambayo huamini kama safari utaifika salama au
 
kwa muktadha huu itakuwa ni ujinga uliokithiri kuiunga chadema au cuf,au ccm mkono,make washapoteza mvuto katika siasa za kistaarabu,bora cck iingie kivyake [/h]
Je tuwatofautishe vipi na chama kama tadea, TLP na nk yaaki mna lipi jipya....
 
haya ndo mawazo mgando,unataka kunambia vyama vya siasa ( yaani mawazo 19) yanatosha kwa watanzania milioni 45?? fkiri vizuri we mbabu!
Nina wasiwasi na uelewa wako mbaya zaidi unajidai unajua kumbe mweupe kama baba mwanaasha......je kuwa na vyama 100 ndiyo mawazo ya watanzania yatakuwa yamesikilizwa...je marekani wako wangambi maana unaonyesha una takwimu za kutosha, je wana vyama vya siasa vingapi?
 
Hujui kuwa CCK ni CCM B!! Ni mkakati wa wanafikiri kwamba watapigwa chini kwenye uongozi wa CCM 2012 na baadaye 2015. Hivyo wanaanza kujiandaa mapema ili yasije wakuta yale ya CCJ 2010. Safari hii mkakati umeenza mapema. Wewe huoni kwa nini wameng'ang'ana na hiyo CC....??!!!

Ni hoja mbovu kama hizi ndizo nasikia baadhi ya watu wa Chadema wakijiandaa kuzitumia kumaliza chama kingine chochote ambacho kitaonekana tishio kwa safari yao ya kwenda Ikulu 2015. Wenye mikakati hii hawana ufahamu kwamba hoja hii inajenga kuliko kubomoa kwani kuna makundi makubwa tu ya wananchi wasio na tatizo na CCM, bali baadhi ya viongozi. Ndio maana leo hii viongozi walio safi ndani ya CCM wakihamia chadema, watapita kwa kishindo. Kwani hufahamu kwamba Mtei, Bob Makani, Mbowe, Slaa, at one point walikuwa wanachama wa CCM? Tujifunze Kujifunza.
 
Cck-chama cha kisanii. Chairman-sita, gsecretary-mwakyembe, uenezi- nape, wajumbe - olesendeka, kilango, bi sherukindo, ngwajema na mpendazowe. Mfadhiri ni kingunge ngombare. Ngwajema anomba kuwa mweka hazina aongezee hama.

WALIPATA KUNENA HAYA: Nasser na utegemezi; "Yeyote yule ambaye hana uwezo wa kujitegemea mwenyewe, hawezi kuwa na sifa ya kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi yake mwenyewe".
Ni Mpendazoe yupi unayemsema? Mwacheni yuko shamba analima! Dhana ya kukihusisha CCK na baadhi ya watu ambao hawako kwenye chama hiki ife mara moja! Ni mawazo ya kipuuzi kama haya kila siku yanawaingiza Watanzania kwenye shida. Tunaendelea na tunasonga mbele, endelea kukejeli sisi tunajenga chama kipya. Kwa taarifa tu, baada ya kukamilisha uteuzi wa viongozi mkoa wa Arusha, Mkoa wa Dodoma nako kazi imekamilika tunaendelea mkoani Mtwara underground wewe piga domo lakini umeifanyia nini nchi yako?
 
Ni hoja mbovu kama hizi ndizo nasikia baadhi ya watu wa Chadema wakijiandaa kuzitumia kumaliza chama kingine chochote ambacho kitaonekana tishio kwa safari yao ya kwenda Ikulu 2015. Wenye mikakati hii hawana ufahamu kwamba hoja hii inajenga kuliko kubomoa kwani kuna makundi makubwa tu ya wananchi wasio na tatizo na CCM, bali baadhi ya viongozi. Ndio maana leo hii viongozi walio safi ndani ya CCM wakihamia chadema, watapita kwa kishindo. Kwani hufahamu kwamba Mtei, Bob Makani, Mbowe, Slaa, at one point walikuwa wanachama wa CCM? Tujifunze Kujifunza.


Mchambuzi umenena! Umefika wakati sasa watu Tujifunze Kujifunza, kuna usemi mmoja wa kizungu naupenda sana, "To understand History is to understand oneself" usemi huu una maana kubwa sana hasa tunapojaribu kujadili mambo ya msingi leo katika taifa letu! Tatizo kubwa ni watu kutotaka kujifunza, leo nawaachie neno moja la hekima: "Criticize only when criticismis warranted" na ifahamika tunayo haki kwa mujibu wa sheria kuendesha siasa kwenye nchi yetu, tunaamini tutakwenda kwenye njia sahihi ili kila Mtanzania afurahie kuitwa Mtanzania, sisi vijana tunajivunia kutoka mstari wa mbele na kulipigania taifa letu
 
Back
Top Bottom