YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,258
- 137
Mwanakijiji indirectly wewe ndio umewafundisha hilo, meaning wadesa kutoka kweli kauli yako.
😕😕🙁😡🙂😱😀😉😛
chinks, 2008.
Mwanakijiji indirectly wewe ndio umewafundisha hilo, meaning wadesa kutoka kweli kauli yako.
kama umeshaonaa ni mbinu za kihuni huni, unahitaji kideo ya nini? Kwamba ukiona video ndio utabadili mawazo? Unaomba kideo wewe ili kuthibitisha nini? kama ulikuwa ni mkutano wa kawaida tu na kideo kinamuonesha Mtawa pia au mtu mwingine 'vip' na hakina sauti utaamini nini? Na ukisikia sauti ikisema "milioni tatu, nimetumwa n.k" utataka nini kingine kuthibitisha.
Kwa vile huu ni udaku, hauitaji ushahidi utakufa wenyewe kama udaku mwingine.[/QUOTE]
....ameeen.
..........................😉😉🙂 theudaku.blogspot.com
chinks, 2008.
Hii habari ndivyo ilivyoripotiwa na Habari Leo:
Habari Leo
Kamati ya Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini, wamekanusha habari iliyotangazwa na Kituo cha Televisheni cha ITV, iliyodai kuwa kuna kikundi cha dini ya Kiislamu kinachotumika kuchafua jina la mfanyabiashara maarufu na mwanasiasa nchini kwa kutumia nembo ya udini na ukabila.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Chifu Hussein Msopa, alizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, na kutoa tamko la kukitaka kituo hicho cha utangazaji kuiomba kamati hiyo radhi kwa kipindi kisichopungua siku saba kuanzia jana.
"Sisi tulikuwa kwenye mkutano wetu siku hiyo, hatukualika vyombo vya habari tulikuwa tukijadili masuala matatu; OIC, Kadhi na ukabila, alisema Msopa, na kuongeza kuwa katika ajenda hizo, walilazimika kuachana na ajenda mbili ambazo ni OIC na Kadhi kwa kuwa Rais Jakaya Kikwete aliwasihi wananchi kuiachia serikali masuala hayo.
Alisema kitu cha kushangaza ni pale televisheni hiyo ilipofuatilia kwa siri mkutano huo bila kualikwa, na kurusha mjadala na mawazo ya baadhi ya wajumbe badala ya kusubiri nini kiliamriwa au baada ya kikao, kitu kilichowatia shaka juu ya usalama wao.
Aidha, Mwenyekiti huyo alisema taarifa hiyo ilipotosha umma na kuleta uzushi na uhasama baina ya Waislamu na Wakristo wanaoitakia mema dini hiyo, baada ya kueleza kuwa kikundi hicho kinachotumika kumchafua mfanyabiashara huyo, kinafadhiliwa na mtu aliyejulikana kwa jina moja la Manji.
Tunatamka kwamba endapo ITV hawatatuomba radhi kwa siku hizo saba tutahamasisha Waislamu na Wakristo nchi nzima kuacha kutazama taarifa yoyote ndani ya kituo hicho, pia kusitisha ushirikiano wowote wa kibiashara na Kampuni za IPP, na mwisho tutaomba dua na kulaani kituo hicho, alisema Msopa.
Alisema kamwe Waislamu hawataacha kujadili suala la ukabila ambalo linazidi kuota mabawa nchini siku hadi siku, na kufanya baadhi ya sekta na idara za serikali kuendeshwa kikabila na bila ufanisi, sababu zinazopelekea migomo, maandamano na hata uzalishaji na huduma mbovu.
Juhudi za kumtafuta msemaji wa ITV ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One, Joyce Mhavile, hazikuzaa matunda, baada ya Katibu Muhtasi wake, kueleza kuwa anahudhuria mkutano, na kwamba hatazungumza na mtu ye yote. Kwa mujibu wa maelezo ya Msopa, taarifa hiyo ilitangazwa na kituo hicho Novemba 3, mwaka huu na kurudiwa siku iliyofuata, pamoja na kuonyesha picha za wahadhiri hao wakihudhuria kikao hicho.
My Take:
Angalia kile wanachotishia kukifanya baada ya siku saba na kile ambacho nilikiripoti jana kuwa kilirekodiwa kabla ya kipindi hicho kurushwa (kwamba uamuzi wa kufanya kinachotishiwa kufanywa baada ya siku saba ulifanyika kabla ya habari hii kutoka hewani- inawezekana vipi?). Je siyo kwamba baada ya siku saba watakukwa wanatekeleza hiki.
Sasa baada ya siku saba mkisikia habari ni hii itakuwa ni kwa sababu ITV wamekataa kuomba radhi au kwa vile uamuzi huo tayari ulishachukuliwa? Kwanini wasitishie kwenda mahakamani kama wanavyofanya wengine?
never use your downstairs for thinking, got it? if you wanna kid on me just start a thread.[/QUOTE]
that's scary, LOL...😕😕😕.
Ni wazi kuwa hawakanushi kukutana, hawakanushi kuwa wote waliotajwa walikuwepo kwenye mkutano huo na mwisho hawakanushi ajenda kubwa tatu za mkutano huo. Ni kwamba wanakubaliana na yote yaliyoonekana kwa macho ila wanakanusha yaliyosikika wakiyasema huku midomo ikionesha wazi kuwa wanaongea - duh, kazi kweli kweli.
Mwanakijiji indirectly wewe ndio umewafundisha hilo, meaning wamedesa kutoka kwenye kauli yako.
Tuwe makini tunapokutana na upinzani usio na msingi katika mijadala muhimu.Hapa kuna mkundi kadhaa ya wanaojitahidi kui-discredit topic hii au kuilazimisha ibadili mwelekeo.
Kwanza kuna wale usual critics ambao nadhani kutokana na obession na useless criticism wanaweza hata ku-criticise their actual dates of birth or hawa wanajulikana.Wanachojua wao ni kupinga tu.In most cases,hawaji na topic mpya bali huvamia na kupinga tu.Hawa tumewazowea.
Kundi la pili ni wale wanaopinga kwa minajili ya kupata habari zaidi.Baadhi yao wanaweza kuwa vikaragosi wanaoshinda hapa kujua kinachoendelea.Wanatumia ujanja wa kubisha ili kupata habari zaidi.
Kundi jingine,na hili ni la hatari,ni wale wanaohusisha habari hii na "vita" dhidi ya dini flani.Hawa ni kama waumini wenye msimamo mkali.Ukitaja imani yao,hata kama ni kwa nia nzuri,basi umewachokoza.Hawapingi mada hii kwa vile wana ushahidi kuwa huu ni udaku lakini kwa vile hawataki kuona imani yao inaguswa.Jina jepesi la hawa ni WADINI,na huenda wana-wish uharamia unaozungumzwa kwenye mpango huu ungefanikiwa.
Kundi la mwisho,ambalo linashabihiana na la pili na la tatu ni hawa wenzetu wanaojifanya wanajua kila kitu.Kwa wao,kilicho sahihi ni kile wanachokifahamu wao tu.Pia akitajwa mtu ambaye ni rafiki kwao basi mada nzima ni uzushi.Pengine wanapaswa kujiuliza hivi:kama mtu anaweza kuwa cheated na mkewe without their knowledge,kwani rafiki/mtu unayemfahamu asiweze kuwa anajihusisha na mambo ambayo wewe unayamini ni rafiki yake huyajiu?Who's more closer to you,wife au rafiki?
Mwanzisha mada aliiweka habari hii kwa nia nzuri ya kuhabarishana na kupata data zaidi.Mwanakijiji akatupa data zaidi.Wenzetu huko nyumbani wameiona kwenye tv.Baadaye watuhumiwa wamekanusha kwenye gazeti (na sio kukanusha kuwa hawakukutana au hawakuzungumzia OIC,Udini na Ukabila)....lakini kuna wenzetu hawataki kuamini mpaka habari hiyo iwe kwenye youtube!!!This cant be serious.Mbona hata hotuba ya juzi ya JK kwa taifa haiko kwenye youtube na same youtube-addicted critics hawabishi?
Mlalahoi
Analysis mzuri sana Mkuu.
Mimi naomba nitoe wito kwa Mkandara, GT na wengine waliopinga kwa kashfa badala ya hoja kumuomba radhi Mzee Mwanakijiji kwa kumuita Mzushi. huo ndio ungwana wa hapa JF.
Credibility ya JF is bigger than ever.
KLHN yaweza kuripoti kwa uhakika kabisa kuwa mpango wa kuanzisha uchafuzi wenye mlengo wa kidini na kikabila nchi umeundwa na sasa umefichuliwa. Mpango huo ambao unawahusisha watu mbalimbali wenye majina makubwa umedhihirika kuanzia siku ya Ijumaa iliyopita.
Mpango huo ulianza kusukwa wiki chache zilizopita na hatimaye kuanza kutekelezwa siku ya Ijumaa iliyopita. Kwa wanaokumbuka siku ile (ya Ijumaa) kulikuwa na mkutano wa Waislamu kuelezea masuala mbalimbali ya maslahi yao na hasa suala la OIC. Baadhi ya viongozi wa Waislamu toka mikoani walikuwa jijini pia.
Ilikuwa ni katika nafasi hii timu iliyokuwa imeanza kukusanywa iliweza kuwakutanisha viongozi mbalimbali hao wa Waislamu kwa kuandaa mkakati kamambe ambao kwa madai yao mipango yake inatoka ndani na juu kwenye serikali. Katika kufanya hivyo viongozi kama 9 hivi wa Kiislamu waliweza kupatikana na kukutanishwa katika hoteli ya Regency siku ya Ijumaa
YY bwana, I dont expect that from you! Credibility is big lakini haimzuii mtu kuhold back information hadi pale atakapojiridhisha personaly. Una uhakika gani kwamba ndio hao tu wanapinga habari hii?
Tuwe makini tunapokutana na upinzani usio na msingi katika mijadala muhimu.Hapa kuna mkundi kadhaa ya wanaojitahidi kui-discredit topic hii au kuilazimisha ibadili mwelekeo.Kwanza kuna wale usual critics ambao nadhani kutokana na obession na useless criticism wanaweza hata ku-criticise their actual dates of birth or hawa wanajulikana.Wanachojua wao ni kupinga tu.In most cases,hawaji na topic mpya bali huvamia na kupinga tu.Hawa tumewazowea.
Kundi la pili ni wale wanaopinga kwa minajili ya kupata habari zaidi.Baadhi yao wanaweza kuwa vikaragosi wanaoshinda hapa kujua kinachoendelea.Wanatumia ujanja wa kubisha ili kupata habari zaidi.
Kundi jingine,na hili ni la hatari,ni wale wanaohusisha habari hii na "vita" dhidi ya dini flani.Hawa ni kama waumini wenye msimamo mkali.Ukitaja imani yao,hata kama ni kwa nia nzuri,basi umewachokoza.Hawapingi mada hii kwa vile wana ushahidi kuwa huu ni udaku lakini kwa vile hawataki kuona imani yao inaguswa.Jina jepesi la hawa ni WADINI,na huenda wana-wish uharamia unaozungumzwa kwenye mpango huu ungefanikiwa.
Kundi la mwisho,ambalo linashabihiana na la pili na la tatu ni hawa wenzetu wanaojifanya wanajua kila kitu.Kwa wao,kilicho sahihi ni kile wanachokifahamu wao tu.Pia akitajwa mtu ambaye ni rafiki kwao basi mada nzima ni uzushi.Pengine wanapaswa kujiuliza hivi:kama mtu anaweza kuwa cheated na mkewe without their knowledge,kwani rafiki/mtu unayemfahamu asiweze kuwa anajihusisha na mambo ambayo wewe unayamini ni rafiki yake huyajiu?Who's more closer to you,wife au rafiki?
Mwanzisha mada aliiweka habari hii kwa nia nzuri ya kuhabarishana na kupata data zaidi.Mwanakijiji akatupa data zaidi.Wenzetu huko nyumbani wameiona kwenye tv.Baadaye watuhumiwa wamekanusha kwenye gazeti (na sio kukanusha kuwa hawakukutana au hawakuzungumzia OIC,Udini na Ukabila)....lakini kuna wenzetu hawataki kuamini mpaka habari hiyo iwe kwenye youtube!!!This cant be serious.Mbona hata hotuba ya juzi ya JK kwa taifa haiko kwenye youtube na same youtube-addicted critics hawabishi?
Mama,
Sijasema hao peke yao...soma vizuri tu.
Sisemi waombe radhi kwa sababu wamepinga bali kwa kumuita Mwanakijiji ""mzushi".