Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,277
- 7,993
Umekosea kabisa kufananisha vitu hivyo viwili. Kwanza ndoa kuna nyingi; kipagani, kikristu, kiislamu, kitamaduni, kiserikalu na madhehebu mengine.Muungano ni kama NDOA YA WAZAZI WAKO iliyofungwa kabla ya wewe kuzaliwa.....
Hauhojiki KUPITILIZA....
Hauvunjwi......
Hauvunjiki......
Hapa "UAMSHO" wanaweza kutupa funzo kubwa......
#KaziIendelee
Watanzania siyo watoto wa ndoa bali Muungano ni mtoto wa Zanzibar na Tanganyika. Wazazi wanaweza kummhoji mtoto