Cassper Nyovest ft Diamond Platnumz - My heart

Cassper Nyovest ft Diamond Platnumz - My heart

Kwan hao coke hawakumuona Ali mwenye vocal nzuri mbona wanamtaka huyo huyo saut inayokwaruza, chuki ni uchafu wa moyo
Tena hiyo ni coke studio ya south africa ambayo ni kubwa zaidi kuliko ya kenya na diamond ndo mtanzania pekee aliechaguliwa, sasahuyu jamaa analeta chuki zake
 
Diamond anaimba flat mwanzo mwisho na kwa wanaujua mzuki wa do le mi so fa hiyo wanaelewa kuna sehemu kajaribu kupanda hahahhaa kidogo makohozi yamtoke..!!
 
Diamond anaimba flat mwanzo mwisho hii na kwa wanaujua mzuki wa do le mi so fa wanaelewa kuna sehemu kajaribu kupanda hahahhaa kidogo makohozi yamtoke..!!
Ukisema unaonekana hater cjui team domo wanamatatizo gani
 
Sauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
MSIKILIZE KIBA COKE STUDIO ANAIMBA CHEKECHA KAMA AMEMEZA CHURA ANAHEMEA JUU JUU
 
Nlichopenda ni hapo alipobadili sauti yake c ile tuloizoea big upo Mond
 
Cassper nyovest kaimba vizuri anaonekana hana papara nafikiri kwasababu ya uzoefu kijana diamond inabidi aongeze juhudi na mazoezi anaimba kwa kudonoa maneno na papara nyingi na hapo inaonyesha kafanya mazoezi na hicho kikundi kwa siku nyingi ingekuwa ni kitu cha kustukiza ingempa shida kwenda sawa na hivyo vyombo lakini kajitaidi Sana!

-Nyerere-
 
Great combo,nafikiri hapa Diaomond alipata msanii ambaye combination yake imekuwa nzuri sana tofauti na colabo nyingine kama ile ya Psquare
 
Kinachombeba diamond ni uandishi na ujuzi wa kujua watu wanataka nn kwa wakati gani
 
Hivi wakuu hii Coke studio ZA na ile coke studio inayofanyika kenya zinatofauti gani?
 
Back
Top Bottom