Cassper Nyovest ft Diamond Platnumz - My heart

Cassper Nyovest ft Diamond Platnumz - My heart

sauti yake ndio ilivyo....hata akifanya mazoezi ya kufa watu haiwezi kuwa kama unavyotaka iwe mpaka ifanyiwe sound effect na kina Tudy Thomas au Laizer pale wasafi record
 
Kawaida sana, anahitaji mazoezi ya ziada hasa kucontrol pumzi.

Hongera kwake kwa hutua kubwa.
 
Mm n shabiki wa muziki mtamu, nachelea kusema hii ndo the best collabo hit Coke studio had ever experienced......
bila kuisahau na hii combination Mr.fleva &Juliana _Ololufe/haturudi nyuma,ipo kwenye play list yangu audio & video bonge moja la romantic song dooh....
 
Kiukweli Diamond level zngne, Huwa nashangaa wanaomfananisha na yoooooooooooo, Platnumz ana kila kitu kwa mwanamuziki, Diamond na yooooooo ni kama kumlinganisha mercy na Giroud
 
Mimi nimeshangaa sanaaaa,
Kama akifanyia mazoezi ya nguvu sauti yake atafute na watu wenye kipaji wa back vocals na wapiga vyombo.
Ataingia kuimba nchi yoyote ile hapa duniani, watu wanataka kusikiliza muziki na siyo makelele.

Angalia video za juzi Znz, ameanza hayo uliyosema.
 
Hivi kwanini wasanii wengine wa bongo hawataki kuassociate na huyu jamaa kama ommy dimpoz kipindi kile!
hakika yupo juu
 
Back
Top Bottom