slatcher
Senior Member
- Aug 5, 2016
- 132
- 212
Hivi king Kiba keshaitwa Ikulu?, mbona show za mbele haitwi anaishia Kenya. Kiukweli Diamond Mkali. Tena kuanzia Leo atakaye mlinganisha Simba na yoooo ni wa kuchapwa. Platinumz now ni International Artists km watu hawajajua ndo wajue. Ebu jiulize y fiesta Teckno alisema Simba is my brother we proud of him. Muziki co Sauti tuuu. Na km mnatk kujua hili mfuatilieni msanii Chinbees....Kiukweli Baba tiffah is everything in bongo. Wkt yy anawaza collabo za mbele mwenzake anawaza collabo na kina baraka
. Very nice one and touchy especially when u dedicate it kwa your lover.
