Tofaut yake ni kuwa moja ipo Kenya nyingne ipo SAHivi wakuu hii Coke studio ZA na ile coke studio inayofanyika kenya zinatofauti gani?
Tofaut yake ni kuwa moja ipo Kenya nyingne ipo SAHivi wakuu hii Coke studio ZA na ile coke studio inayofanyika kenya zinatofauti gani?
Unatafuta ugomvi ngoja wajeDiamond ni msanii mzuri Sana kwa sababu Ana uwezo wa kuimba na kuongea hongera kwa hilo na kwa kuongea katika nyimbo hii badala ya kuimba![]()
Mkuu sio ugomvi ni ukweli kabisa na Tanzania wapo wawili tu enock yule wa ya moto band na mzee wa kaziUnatafuta ugomvi ngoja waje


ni hasara kuwa nayo!!!Kwan hao coke hawakumuona Ali mwenye vocal nzuri mbona wanamtaka huyo huyo saut inayokwaruza, chuki ni uchafu wa moyo







Hv huwa hamuoni soni kudandiana kila siku kwenye mitandao?? Can't you be the fans for all of them for the interests and honor of our country??Ukisema unaonekana hater cjui team domo wanamatatizo gani
kuna watu mtu hata akifanya nini mnaponda ...Cassper nyovest kaimba vizuri anaonekana hana papara nafikiri kwasababu ya uzoefu kijana diamond inabidi aongeze juhudi na mazoezi anaimba kwa kudonoa maneno na papara nyingi na hapo inaonyesha kafanya mazoezi na hicho kikundi kwa siku nyingi ingekuwa ni kitu cha kustukiza ingempa shida kwenda sawa na hivyo vyombo lakini kajitaidi Sana!
-Nyerere-
Kumbe hao na wale wekundu wa msimbazi hawachekani?? Wote wa matopenikuna watu mtu hata akifanya nini mnaponda ...
sisi hatujui dolemifaso wala sio majaji wa mziki...
tunachojua ni mziki mzuri tu.!!
jamaa wameimba vizuri wote...
punguzeni chuki binafsi!!!
khaaaa.......
wa matopeni em mtupisheee
Hahahahaha!!umeua chifu..Kumbe hao na wale wekundu wa msimbazi hawachekani?? Wote wa matopeni
Mbaya zaid ata waponde ..they dnt *** shit..living out there to the fullestkuna watu mtu hata akifanya nini mnaponda ...
sisi hatujui dolemifaso wala sio majaji wa mziki...
tunachojua ni mziki mzuri tu.!!
jamaa wameimba vizuri wote...
punguzeni chuki binafsi!!!
khaaaa.......
wa matopeni em mtupisheee
Mbona mash up nyingi tu ukifingua you tube adds zipo kibao tu.Special for coke studio za ila ishashambaa mitandaoni uko nigeria na S.A utasema official track haijawahai tokea mash up ikatembea mitandoni fast km hii
Hii sasa inapatikana kwny website za mziki tayari km tooexclusive.com n notjustok.com youtube c uwa zinawekwa kwny channel ya coke studioMbona mash up nyingi tu ukifingua you tube adds zipo kibao tu.
ndo hao hao wa mchanganiKumbe hao na wale wekundu wa msimbazi hawachekani?? Wote wa matopeni
With tz favoryt artistSouth african Favorite Rapper Casper Nyovest.