Ushaisikia sauti ya Bruce Springsteen wewe?Sauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
Ushaisikia sauti ya Bruce Springsteen wewe?Sauti kama anamemeza ugali wa moto inakwaruza balaa ajipange sana ndo atamfikia king kiba kwa vocal
Hio ndo power ya diamond.. Kila anachugusa kinakua diamondSpecial for coke studio za ila ishashambaa mitandaoni uko nigeria na S.A utasema official track haijawahai tokea mash up ikatembea mitandoni fast km hii
twitter huko anatrend hatariiiInakwaruza. Ok. Whats the problem. Mtaishia kusema vocal hvo hvo....na ndicho kinachomcost AK coz yy anadhani kuwa na vocal nzuri ndio mwisho wa yote....Sikiliza vizuri huwo wimbo zen ulete mlejesho je sauti haikwaruzi???
Cassper nyovest kaimba vizuri anaonekana hana papara nafikiri kwasababu ya uzoefu kijana diamond inabidi aongeze juhudi na mazoezi anaimba kwa kudonoa maneno na papara nyingi na hapo inaonyesha kafanya mazoezi na hicho kikundi kwa siku nyingi ingekuwa ni kitu cha kustukiza ingempa shida kwenda sawa na hivyo vyombo lakini kajitaidi Sana!
-Nyerere-

mziki wa ali kiba jeSong tamu sana , huu ndo mziki
No mkuu kwa Tanzania Favorite artist ni Ali Kiba...With tz favoryt artist
Aise huyu bwana mdogo hafai kabisa siyo wakumlinganisha na vinyago vinavyo imba