CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

Wala usihangaike kumtafuta bali mu-ignore tu. Hili 1954 ni moja ya marobot ya Lumumba. Yanaishi kwa buku 7 na kazi yao 24/7 ni kupita kwenye social media na kutisha wakosoaji, kisifia ujinga wa Serikali na kujibu ovyo.
Hahaha yaani anayetofautiana .na wewe au nyie ni robot na kwamba ansishi kwa buku 7...nyie mnaodai kukosoa serikali in maana ni werevu...Kuna tofauti ya kukosoa serikali na kujiingiza kwenye usaliti na uhaini...na kumbuka wakosoaji wazuri wa serikali hawako kwenye social media...
 
Tukiwakosoa kwenye mainstream media au mmatupiga risasi au mnatufungulia mashtaka ya kutakatisha fedha. This is our safe heaven. And it pays to criticise from. Tumekemea vitendo vya uuaji na utekaji sana bila kuogopa na tunaona vikipungua. Hatutaacha tutaendelea
 
yakija kutokea ya Libya ndo wataelewa nn tunamaanisha
Otimbi natimbilio
Libya ni Libya na Tanzania ni Tanzania!.
Walibya ni Walibya ni watu wa aina hiyo ambao wameweza kufanya hayo, Watanzania ni Watanzania, sisi ni watu poa, hatuwezi kufanya ukatili huo!.
P
 
Back
Top Bottom