CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

Caligula alikuwa hana akili nzuri, alikuwa anapanga kumfanya farasi wake mbunge ili kuonesha tu yeye mfalme.

Yani hapa ni sawa na kumfanya Bashite wako RC wa Dar ili kuonesha tu kwamba hakuna wa kukufanya kitu hata ukimuweka mtu asiye na uwezo kama Bashite kuwa RC wa Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajameni msimfananishe huyu wa kwetu na Caligula tafadhalini sana.

Caligula ilikuwa ni mental retardation case. Caligula aliwabaka mpaka dada zake na kufanya ngono na wanyama.

Kabla hutujafika huko kwa chuki tu tuangalie documentary inayoitwa "Roman Emperor Caligula - 1400 days of terror" Caligula
 
Huyu wa kwetu mbona alishakiri naye ni kichaa? Au hukusikia mwaka 2017 akiwa ziara ya mkoa wa Mara. Alikuwa anamsufia Waziri Lugina Mpina kuwa amemchagua ni kichaa kama yeye.
 
.
masoudkipanya-20200307-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wa kwetu mbona alishakiri naye ni kichaa? Au hukusikia mwaka 2017 akiwa ziara ya mkoa wa Mara. Alikuwa anamsufia Waziri Lugina Mpina kuwa amemchagua ni kichaa kama yeye.
Our presidaa is not mentally retarded. Caligula alikuwa anamiliki danguro la anasa, ubakaji na mauaji. Alikuwa kichaa.
 
Moderator nimetishiwa na huyu mtu, hebu angalieni VAR yenu. JF imeanza kuvamiwa na watu wasiojulikana.
Pole sana ndugu. Usiwe na hofu sana. Hawataweza kukufikia kama JF wenyewe wasiowapa mechanism ya kufanya tracking kupitia hii platform.

Ila JF ikitekwa ni dakika tu wanakuja mpaka ulipolala kitandani wanakubeba ukiwa umevaa boxer.

Ila ongeza umakini pia. Usiwaamini sana JF. Wakifika bei watatuuza wote tunaojiachia huku.
 
Our presidaa is not mentally retarded. Caligula alikuwa anamiliki danguro la anasa, ubakaji na mauaji. Alikuwa kichaa.
Kisarawe hoyee? Wizara ya uwekezaji je? Wizara ya afya? Hilo nalo ni danguro tosha.
 
Pole sana ndugu. Usiwe na hofu sana. Hawataweza kukufikia kama JF wenyewe wasiowapa mechanism ya kufanya tracking kupitia hii platform.

Ila JF ikitekwa ni dakika tu wanakuja mpaka ulipolala kitandani wanakubeba ukiwa umevaa boxer.

Ila ongeza umakini pia. Usiwaamini sana JF. Wakifika bei watatuuza wote tunaojiachia huku.
Wacha kutisha watu. Bora wanichukue nimevaa Boxer huko ninawakosoa kuliko kukaa kuogopa kuwaambia ukweli.

Uwoga bakia nao wewe
 
Ujinga upi, unataka kuaminisha watu kuwa kile uonacho sahihi kwako na wengine waone hivyo? Sasa yenu iko jikoni,keep calm and wait to see
Wala usihangaike kumtafuta bali mu-ignore tu. Hili 1954 ni moja ya marobot ya Lumumba. Yanaishi kwa buku 7 na kazi yao 24/7 ni kupita kwenye social media na kutisha wakosoaji, kisifia ujinga wa Serikali na kujibu ovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom