Huko kufoka ni perception yako mkuu. Don't you feel irritated pia hilo bango la uanamke linapobebwa kila mahali? SADC pia chapuo la uanamke lilikuwa drummed like hell. I'm like hivi na hao wanaume waliotangulia nao pia walipaswa kubeba mabango ya uanaume kila mahali? Katiba inasema ma tutakuwa na Rais haisemi atakuwa wa jinsia gani why are we making it an agenda?Am i the only one feeling this is a lil harsh..
Sijui yani..
Mbona kama anamfokea Mama yetu?.