Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Am i the only one feeling this is a lil harsh..

Sijui yani..

Mbona kama anamfokea Mama yetu?.
Huko kufoka ni perception yako mkuu. Don't you feel irritated pia hilo bango la uanamke linapobebwa kila mahali? SADC pia chapuo la uanamke lilikuwa drummed like hell. I'm like hivi na hao wanaume waliotangulia nao pia walipaswa kubeba mabango ya uanaume kila mahali? Katiba inasema ma tutakuwa na Rais haisemi atakuwa wa jinsia gani why are we making it an agenda?
 
Ni kweli mwanzo alikuwa anampa kongole lakini Sasa eti anaponda ni vizuri kumkosoa mtu in positive way na sio Sasa kukosoa opinions za mtu, Rais si mjinga kusema hivo na jamii yetu na mifumo dume na alichopitia ni njia ya kuji express ku heal inner soul, why wamshambulie sasa
Umesema kweli. Kuna voice note ya akina Bashiru na Sukuma Gang wenzie wakati JPM yuko amekufa na hawataki kutangaza. Anasikika Bashiru akisema "Yule Samia ni Mwanamke Hajui Kitu".

Ukiona Samia anasema mara kwa mara hayo maneno, na wewe huelewi, ujue hayakuhusu. Walengwa wanajuwa
 
Huyu mama iko wazi uwezo wa kuwa kiongozi wa nchi hana.

Kila hotuba yake yeye anatanguliza jinsia yake, kila hotuba atatangazia watu jinsia yake.

Miezi 7 sasa mila hotuba ni jinsia yake, kila akisimama lazima ataje jinsia yake. Hii ni ile kitaalam tunaita inferiority complex disorder, ni ugonjwa wa akili.

Huyu mama uwezo wa kua raia hana. Hilo liko wazi. Kuna mataahira yake yanataka apewe hadi 2030, tatizo uwezo hana.

Ukitaka kujua huyu mama hakuna kitu, ahutubie bila kusoma hutuba, unaweza kulia, vyote atakavyoviongea havina maana yoyote.

Hii nchi ina safari ndefu ya maendeleo.
Sasa tutaenda vizuri baada ya kupata mshauri kutoka UK
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais hatakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke hatakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Kutokana na mfume dume uliyozoeleka ndiyo unamfanya mama kuwakumbusha kuwa raisi ni mwanamke.
 
Mm mwenyewe ananikera kweli kweli, inferiority complex indeed!!!,

Tatizo kule kwao Zanzibar mwanamke si kitu kwenye uongozi ndio maana anajitutumua sana Kila kukicha.
 
Huko kufoka ni perception yako mkuu. Don't you feel irritated pia hilo bango la uanamke linapobebwa kila mahali? SADC pia chapuo la uanamke lilikuwa drummed like hell. I'm like hivi na hao wanaume waliotangulia nao pia walipaswa kubeba mabango ya uanaume kila mahali? Katiba inasema ma tutakuwa na Rais haisemi atakuwa wa jinsia gani why are we making it an agenda?
Its exhausting yahh.,
Bt presentation ya Caro mhh.,

Ukitaja kujua its a lil distasteful soma hayo maneno exact like ur talking to your mom ndo utajua.,they could have been a lil softer
 
Mbona hata wakati wa Magufuli alisema, au umesahau? Aliweka Hadi waraka humu
Kifupi huyu sio mnafki
Hajui kutofautiana Sasa hatukai kukosoana, ila kikubwa kuwa wavumilivu na kuheshimu opinions za wengine, ka yeye anavotaka kukosoa wengine
 
Umesema kweli. Kuna voice note ya akina Bashiru na Sukuma Gang wenzie wakati JPM yuko amekufa na hawataki kutangaza. Anasikika Bashiru akisema "Yule Samia ni Mwanamke Hajui Kitu".

Ukiona Samia anasema mara kwa mara hayo maneno, na wewe huelewi, ujue hayakuhusu. Walengwa wanajuwa
Yes maana kina Bashiru walimwambia mama a step down Tanzania haiko tayari kuongozwa na mwanamke, Sasa obviously hayo maneno yalimuumiza na sioni shida mtu kutoa dukuduku la moyoni as long as haumizi mtu, so I wonder wanaomshambulia eti anatumia uanauke wake ka excuse na Carol bila kutafakari akalibeba Hilo neno la ma clout chaser wa kisiasa bila kujua hicho ni kijembe kwa wahusika flani.
 
Hajiamini. Anahisi katika jamii mwanamke anaonekana ni kiumbe dhaifu sn.
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Hakika.
 
N kweli hajiamini, maana sjaona haja ya yy kutambulisha jinsia yake wakat tunaijua.

Huenda n kwa kuwa hiyo nafasi hakuwah kuiota n kama zari, sasa yapasa walio karbu nae wampe kujiamini na pia wamshaur aache kujitambulisha tambulisha jinsia yake maana tunaijua.
 
Huyu mama iko wazi uwezo wa kuwa kiongozi wa nchi hana.

Kila hotuba yake yeye anatanguliza jinsia yake, kila hotuba atatangazia watu jinsia yake.

Miezi 7 sasa mila hotuba ni jinsia yake, kila akisimama lazima ataje jinsia yake. Hii ni ile kitaalam tunaita inferiority complex disorder, ni ugonjwa wa akili.

Huyu mama uwezo wa kua raia hana. Hilo liko wazi. Kuna mataahira yake yanataka apewe hadi 2030, tatizo uwezo hana.

Ukitaka kujua huyu mama hakuna kitu, ahutubie bila kusoma hutuba, unaweza kulia, vyote atakavyoviongea havina maana yoyote.

Hii nchi ina safari ndefu ya maendeleo.
Kuhutubia bila kusoma sio ujanja. Karama zinatofautiana.

Wengine wana uwezo wa kuhutubia sana ila uwezo wa kutenda mdogo.

Wengine wanao uwezo wa kutenda ila kuhutubia hawawezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom