Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Anaongoza nchi vizuri wapi na kwa namna gani?

Umetumia kipimo gani kwamba anaongoza nchi vizuri?

Rais anayeongoza nchi vizuri ulisikia lini na wapi analaumu na kukejeli vijana kwa kukosa ajira?

Rais ameshindwa kutengeneza hata ajira kwa vijana wetu halafu unatwambia kuwa anaongoza vizuri?

Angalia hotuba za Rais wa developed countries wanapokuwa wanahutubia. Huwa hawalaumulaumu wala kulialia hata siku moja mara mimi ni Rais Mwanamke au Mwanaume.

Utasikia tu katika utawala wangu nimefanikiwa kutengeneza hiki na hiki mfano ajira kadhaa na natarajia kutengeneza ajira zingine kadhaa.

Rejuvenate your mind brother.
Suala la unemployment ni carry-over effect ya mtangulizi wake ambaye haku create ajira for 5 years consecutively. Na on the contrary aka i-shrink na private sector iliyokuwa ina complement government efforts.

Tumeona Samia akihangaika kufungua diplomasia, akifungua uchumi, akikaribisha wawekezaji na at least akitoa ajira za Serikali mwaka jana kwa sekta za afya, elimu, polisi, uhamiaji na TRA.

Hatuwezi kumpima kwenye provision ya employment kwa kuwa ana miezi 9
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom