Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
Kweli Facebook na utoto wao wamevamia majukwaa yote ya JF mambo ta vyuo na Sekondari huyakosi jana ilikuwa Martin kadisa mara hadindi
Leo tena Muorombo haya RIP lkn muwe mnafafanua
Unataka kunambia huyu dogo alikuwa hapa s....s?
I know the young man!Calvin Francis afariki katika ajali ya gari aliyokua anaendesha maeneo ya masaki karibu na Colleseum Hotel akitokea Coco Beach..anatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda Rombo, Kilimanjaro kwa mazishi..
1989-2012 RIP Calvin William Francis
I know the young man!
Died in his prime.
Kwao Kibamba, its too bad kuwa kapata ajali, saw him2 moths ago alipokuja party nyumbani kwangu, looked simple composed and collected.
May the Lord rest his soul in eternal peace.
YES!!
He's an IT Personnel..akapata kazi JMall pale..ni kweli amefariki bana!
ooh no!!! pyramid and the eye?????!!!!!!!!freemason??? noooo!!!!!!!!!!!!!!
Ni Nani Huyo? Ni mtangazaji,m-bongo movie? Mcheza mpira? Mwanamuziki?
Don worry yang man, wnhen you kick the bucket there will be no celebrations!Next tym.. Ulilete thread za namna hii! Lete habari ilikamilika kama huna info za kutosha tupa kule tutasoma ktk mablog ya watu!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wekeni picha zenu tuzione tufanye tathmini ya u handsaome wenu.
mh!kama mpaka wewe humjui huyu mtu basi!ila ngoja niseme tu R.I.P Calvin,pole Tbag Hatari
Huyu atakuwa na ushoga wa karibu na mleta mada.
Ungefurahi na roho yako kama ungehudhuria British council ukawaona wakaka na wadada wa jf...