Ila kiongozi saivii nasikiaa TPA nao wameomba kuwekwa kwny mtiririko na ndomaana practical zote ni chini ya 60, it means oral itakua chini ya 40.....japo zamani haikua hivo...ata ukiangalia matokeo ya practical ya zamani yanakuaga chini ya 100.... ila kwa haya tu ya tpa ndo ambayo yapo chini ya 60 , ishu ni kwamba tpa na utumish wamegawana portion...tpa kwa practical na utumish kwa oral ndomana marks zinakua hvo hvo...(ila written haiusiki apo)
Acha wenge dogo wewe mbona ulikuwa unauliza uliza watu humu na wamekusaidia au ndo ile kauli maskini akipata acha roho hiyo mdogo wangu siku nyingine watu watashindwa kukupa hints.
Aaah basi ni Kumuomba tu MUNGU kwa walofanya kama TPA wameomba waingize mkono kwisha habari🚶Ila kiongozi saivii nasikiaa TPA nao wameomba kuwekwa kwny mtiririko na ndomaana practical zote ni chini ya 60, it means oral itakua chini ya 40.....japo zamani haikua hivo...ata ukiangalia matokeo ya practical ya zamani yanakuaga chini ya 100.... ila kwa haya tu ya tpa ndo ambayo yapo chini ya 60 , ishu ni kwamba tpa na utumish wamegawana portion...tpa kwa practical na utumish kwa oral ndomana marks zinakua hvo hvo...(ila written haiusiki apo)
Washkaji zangu wanalia tu lugha ya malkia iliwakamata.broo maswali hayafanani jamaa yko kada tofauti kabisa ata ivo nmemalzana nae, alafu broo utasemaje nmepata hali kwangu ilikua tete na bado kama wakijumulisha na za mgulani m amna kitu apo ndo maana nmetulia ila ilimradi nmemalza siku stachoka kujaribu
Mbona wanaongeaga kingereza cha kawaida sana tu hao rafiki zako wameishia level gani it means kama chuo hata pressentation walikuwa hawafanyi basi hilo Tatizo asee.Washkaji zangu wanalia tu lugha ya malkia iliwakamata.
Mbona wanaongeaga kingereza cha kawaida sana tu hao rafiki zako wameishia level gani it means kama chuo hata pressentation walikuwa hawafanyi basi hilo Tatizo asee.
Security guardsMbona wanaongeaga kingereza cha kawaida sana tu hao rafiki zako wameishia level gani it means kama chuo hata pressentation walikuwa hawafanyi basi hilo Tatizo asee.
Kwani kawaida ilikua kukaa dk.ngapi?mle sijakaa ata dk.3 ila naomba wasinganishe alama
ata sijui ilimradi ukiulizwa taja unataja tena direct, unawai kumaliza maswali matano ni kidogo mno ukiwa faster dk.2 afu wana kingereza chepes mnoKwani kawaida ilikua kukaa dk.ngapi?
ila kuna jamaa niko nae amenipa uhakika kwamba wamepga michujo miwili mechanical japo yeye ametoka, na kila mchujo unajitegemea hizi habari za kujumulisha score hazipo, sehemu za practical ni kama mchujo haviusiani na utumishi, japo yeye alitolewa kwenye mchujo
Aaah basi ni Kumuomba tu MUNGU kwa walofanya kama TPA wameomba waingize mkono kwisha habari
Ila kiongozi saivii nasikiaa TPA nao wameomba kuwekwa kwny mtiririko na ndomaana practical zote ni chini ya 60, it means oral itakua chini ya 40.....japo zamani haikua hivo...ata ukiangalia matokeo ya practical ya zamani yanakuaga chini ya 100.... ila kwa haya tu ya tpa ndo ambayo yapo chini ya 60 , ishu ni kwamba tpa na utumish wamegawana portion...tpa kwa practical na utumish kwa oral ndomana marks zinakua hvo hvo...(ila written haiusiki apo)
na unajua driver walkua chn ya 100 wengne wana 80%
Mengne yaliusu nn mzee
na unajua account tech, control tower, occ officer, nurse midwife, lab tech, operation clerk, technician civil, tech mechanical, tech electrical, fire fighter, artisan 01 electr, pamoja na driver wote ao walkua chini ya 100 ko napinga yule alosema kada zote zlkua chini ya 60
dah nmekuelewa sana mkuuMdau wangu aliiona karatas yenye majina yetu, alikua karibu na msaili aliyetuita majina.
Sisi wamechukua written performance watajumlisha na oral performance then watagawa kwa mbili.. Wastan wako ndo your final results, labda ndo utaratibu mpya..
So aliyepasua written ana possibility kubwa ya kushinda