Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Lorenzo1

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
453
500
Mdau wangu aliiona karatas yenye majina yetu, alikua karibu na msaili aliyetuita majina.
Sisi wamechukua written performance watajumlisha na oral performance then watagawa kwa mbili.. Wastan wako ndo your final results, labda ndo utaratibu mpya..

So aliyepasua written ana possibility kubwa ya kushinda
nyie hamkua na practical??
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
awapotez mda sema ntaanguka koz ya practical kama wakijumulisha, ila waspojumulsha ntakua na imani ila sio uhakika
 
A Boy From Kigoma

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
210
250
Kwa Security Guard Mambo Yalikuwa Ya Kawaida , Maana Cabinet Inawatu 4 Maswali Yao Yapo 5 Wamekwisha Ya Print Na Kila Swali Ni Dakika 2 Kwa Hiyo Una Dakika 10 Za Kutamba ..... Swali Ilikuwa Rahisi
Ni Tell Us Short Story Abt Your Life , Mengine Yote Ni Masuala Ya Ulinzi Sema Kila Swali Una Mention 5 Point , Kwa Iyo Inabidi Uwe Xhap
 
ttzo wakijumulisha point na za practical m nshaungua
 
heavens

Member
Jul 16, 2018
36
125
Kwa Security Guard Mambo Yalikuwa Ya Kawaida , Maana Cabinet Inawatu 4 Maswali Yao Yapo 5 Wamekwisha Ya Print Na Kila Swali Ni Dakika 2 Kwa Hiyo Una Dakika 10 Za Kutamba ..... Swali Ilikuwa Rahisi
Ni Tell Us Short Story Abt Your Life , Mengine Yote Ni Masuala Ya Ulinzi Sema Kila Swali Una Mention 5 Point , Kwa Iyo Inabidi Uwe Xhap
So walikua hawaangalii confidence yako wala usmart wako na wala jinsi unavyojieleza au Mradi tu ujibu maswali ma5 kwa usahihi???
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
ila nmenogewa zikija tena kutoka nalala nao mbele, ety wanauliza historia yangu, ila nmepata experience na nmegundua stakuja kufanya interview ya utumishi wa umma raisi kama ya jana, na nmegundua bora kuanzia kazi ndogo ukaja kubadilisha kitengo kuliko kukurupukia mambo makubwa, ukiwa na bachelor ukafanya interview na mtu wa diploma au form four kama unajua nini unafanya una uwezekano wa kushinda kuliko kufanya na bachelor wenzio, ila vitendo vilinikamata japo sijilaumu maana nilikua sijui ila waspojumulisha apa apa ndugu zangu
 
Kama ulijibu maswali yote kwa usahihi why do you worry? We kama umejibu vizuri bila mikurupuko yako unayotukurupukia hapa basi utapass
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
Kama ulijibu maswali yote kwa usahihi why do you worry? We kama umejibu vizuri bila mikurupuko yako unayotukurupukia hapa basi utapass
mzee, niljb fresh ila sijipi 100% maana maswali yalikua mepesi na naamini kila mtu alijibu vizuri
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
Hakunaga mtihani mwepesi kwa kila mtu.
saw ila kwa watu 200 kuna watu 85 wanajua lugha ya malikia vizuri japo sina imani kulingana na level ya elimu, na hao kuna watu 50 wamepga vizuri mgulani, japo ngoja tusubili ila mi sikumaliza ata dk.3
 
Top Bottom