Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Walio anza leo mtupe hits maswali panel watu wangpi n yupi anauliza san maswali n tupambane nae kivip
 
hatimae nmemalza salama, nawashukuru kwa support yenu kaka zangu
 
hii sehemu unaiona salama ila ata pm usje tafta njia nyingne maana usaili bado unaendelea
 
Hapo la 3 wanapenda kuuliza why should we employ you? /what are your attributes?

Kuanzia swali la 4 mpaka la 5 mara nyingi yanakuaga technical/your field of work. Na hapa ndio knockout zinawabamba watu
Na mengine bila kusahau:
4.What are your strengths?
5.what are your weaknesses?
 
hatimae nmemalza salama, nawashukuru kwa support yenu kaka zangu
Kwa niaba yao nasema asante kwa kutukumbuka na sisi wazee wa nzengo. Mungu ni wetu sote tunakuombea ufanikiwe.
 
hii sehemu unaiona salama ila ata pm usje tafta njia nyingne maana usaili bado unaendelea
Acha wenge dogo wewe mbona ulikuwa unauliza uliza watu humu na wamekusaidia au ndo ile kauli maskini akipata acha roho hiyo mdogo wangu siku nyingine watu watashindwa kukupa hints.
 
Hapo la 3 wanapenda kuuliza why should we employ you? /what are your attributes?

Kuanzia swali la 4 mpaka la 5 mara nyingi yanakuaga technical/your field of work. Na hapa ndio knockout zinawabamba watu

maswali kwa wastani yanakuepo mangapi mkuu??
 
Kakuongopea mzee ORAL haijumlishwi na Practical or written ingekuwa hivo aliyekuwa anapata 90 written ndo angekuwa anapata kazi ila iko hivi kila hatua inapoingia unaanza upya note hivo hayo maneno pia utaambiwa kwenye Oral upate marks ngapi ili upate kazi au ubaki kwenye Database.

Na iko hivo mala nyingi anaepata kazi si yule aliyepata high pass marks sijui kuna dhana gani ila iko hivo kuna mtu unakuta ana ki 56 tu unakuta anatoboa Oral.

Kama unaogopa lugha ongea hata kilugha chenu tu ili ukikosa next time uwe serious.

Ila kiongozi saivii nasikiaa TPA nao wameomba kuwekwa kwny mtiririko na ndomaana practical zote ni chini ya 60, it means oral itakua chini ya 40.....japo zamani haikua hivo...ata ukiangalia matokeo ya practical ya zamani yanakuaga chini ya 100.... ila kwa haya tu ya tpa ndo ambayo yapo chini ya 60 , ishu ni kwamba tpa na utumish wamegawana portion...tpa kwa practical na utumish kwa oral ndomana marks zinakua hvo hvo...(ila written haiusiki apo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom