Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
ko oral na practical watamulisha wapate mia sio au zile za practical hamna
Ila kiongozi saivii nasikiaa TPA nao wameomba kuwekwa kwny mtiririko na ndomaana practical zote ni chini ya 60, it means oral itakua chini ya 40.....japo zamani haikua hivo...ata ukiangalia matokeo ya practical ya zamani yanakuaga chini ya 100.... ila kwa haya tu ya tpa ndo ambayo yapo chini ya 60 , ishu ni kwamba tpa na utumish wamegawana portion...tpa kwa practical na utumish kwa oral ndomana marks zinakua hvo hvo...(ila written haiusiki apo)
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
broo maswali hayafanani jamaa yko kada tofauti kabisa ata ivo nmemalzana nae, alafu broo utasemaje nmepata hali kwangu ilikua tete na bado kama wakijumulisha na za mgulani m amna kitu apo ndo maana nmetulia ila ilimradi nmemalza siku stachoka kujaribu
Acha wenge dogo wewe mbona ulikuwa unauliza uliza watu humu na wamekusaidia au ndo ile kauli maskini akipata acha roho hiyo mdogo wangu siku nyingine watu watashindwa kukupa hints.
 
Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,857
2,000
Ila kiongozi saivii nasikiaa TPA nao wameomba kuwekwa kwny mtiririko na ndomaana practical zote ni chini ya 60, it means oral itakua chini ya 40.....japo zamani haikua hivo...ata ukiangalia matokeo ya practical ya zamani yanakuaga chini ya 100.... ila kwa haya tu ya tpa ndo ambayo yapo chini ya 60 , ishu ni kwamba tpa na utumish wamegawana portion...tpa kwa practical na utumish kwa oral ndomana marks zinakua hvo hvo...(ila written haiusiki apo)
Aaah basi ni Kumuomba tu MUNGU kwa walofanya kama TPA wameomba waingize mkono kwisha habari🚶
 
Navio

Senior Member
Sep 3, 2018
157
500
broo maswali hayafanani jamaa yko kada tofauti kabisa ata ivo nmemalzana nae, alafu broo utasemaje nmepata hali kwangu ilikua tete na bado kama wakijumulisha na za mgulani m amna kitu apo ndo maana nmetulia ila ilimradi nmemalza siku stachoka kujaribu
Washkaji zangu wanalia tu lugha ya malkia iliwakamata.
 
Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,857
2,000
Washkaji zangu wanalia tu lugha ya malkia iliwakamata.
Mbona wanaongeaga kingereza cha kawaida sana tu hao rafiki zako wameishia level gani it means kama chuo hata pressentation walikuwa hawafanyi basi hilo Tatizo asee.
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
m alama za kule mgulani zitaaribu kaz kama wakiunganisha japo naskia ua haiuski hatua ikipita imepita
Mbona wanaongeaga kingereza cha kawaida sana tu hao rafiki zako wameishia level gani it means kama chuo hata pressentation walikuwa hawafanyi basi hilo Tatizo asee.
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
ila kuna jamaa niko nae amenipa uhakika kwamba wamepga michujo miwili mechanical japo yeye ametoka, na kila mchujo unajitegemea hizi habari za kujumulisha score hazipo, sehemu za practical ni kama mchujo haviusiani na utumishi, japo yeye alitolewa kwenye mchujo
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
Kwani kawaida ilikua kukaa dk.ngapi?
ata sijui ilimradi ukiulizwa taja unataja tena direct, unawai kumaliza maswali matano ni kidogo mno ukiwa faster dk.2 afu wana kingereza chepes mno
 
Lorenzo1

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
453
500
ila kuna jamaa niko nae amenipa uhakika kwamba wamepga michujo miwili mechanical japo yeye ametoka, na kila mchujo unajitegemea hizi habari za kujumulisha score hazipo, sehemu za practical ni kama mchujo haviusiani na utumishi, japo yeye alitolewa kwenye mchujo
mijucho miwili kivipi, unajua zamani walikua kila stage kinajitegemeaaa ila kwa hii ya tpa practical na oral ni kama Ca na UE
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
na unajua driver walkua chn ya 100 wengne wana 80%
Aaah basi ni Kumuomba tu MUNGU kwa walofanya kama TPA wameomba waingize mkono kwisha habari
Ila kiongozi saivii nasikiaa TPA nao wameomba kuwekwa kwny mtiririko na ndomaana practical zote ni chini ya 60, it means oral itakua chini ya 40.....japo zamani haikua hivo...ata ukiangalia matokeo ya practical ya zamani yanakuaga chini ya 100.... ila kwa haya tu ya tpa ndo ambayo yapo chini ya 60 , ishu ni kwamba tpa na utumish wamegawana portion...tpa kwa practical na utumish kwa oral ndomana marks zinakua hvo hvo...(ila written haiusiki apo)
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
na unajua account tech, control tower, occ officer, nurse midwife, lab tech, operation clerk, technician civil, tech mechanical, tech electrical, fire fighter, artisan 01 electr, pamoja na driver wote ao walkua chini ya 100 ko napinga yule alosema kada zote zlkua chini ya 60
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
kila hatua inajitegemea yenyewe hamnaga usaili wa ivo apo imekua continous assessment ya o-level
 
SHOOyaKIBABE

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,195
2,000
Mdau wangu aliiona karatas yenye majina yetu, alikua karibu na msaili aliyetuita majina.
Sisi wamechukua written performance watajumlisha na oral performance then watagawa kwa mbili.. Wastan wako ndo your final results, labda ndo utaratibu mpya..

So aliyepasua written ana possibility kubwa ya kushinda

na unajua account tech, control tower, occ officer, nurse midwife, lab tech, operation clerk, technician civil, tech mechanical, tech electrical, fire fighter, artisan 01 electr, pamoja na driver wote ao walkua chini ya 100 ko napinga yule alosema kada zote zlkua chini ya 60
 
jonx

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
204
250
Mdau wangu aliiona karatas yenye majina yetu, alikua karibu na msaili aliyetuita majina.
Sisi wamechukua written performance watajumlisha na oral performance then watagawa kwa mbili.. Wastan wako ndo your final results, labda ndo utaratibu mpya..

So aliyepasua written ana possibility kubwa ya kushinda
dah nmekuelewa sana mkuu
 
Top Bottom