- Thread starter
- #21
Ha ha ha kumbe unamfahamu? Jamaa ni shabiki wa Simba kindakindaki.mkuu umeacha kuishabikia timu yako ya simba siku hizi?
Ha ha ha kumbe unamfahamu? Jamaa ni shabiki wa Simba kindakindaki.mkuu umeacha kuishabikia timu yako ya simba siku hizi?
Kile kipigo alichotupa Raja cha 3 bila kitajirudia tena leo.Kwa Mkapa Hatoki Mtu
Kabisa kabisa mkuuMtihani mwepesi sana huo kwa huyo kocha wa Al Ahly.
Kwani anacheza yeye?Wakuu wasalaaaamu!
Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'.
Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al Ahly atatufuta droo au kufungwa moja, kumbe jamaa kesho wanatafuta matokeo, tena yale mazito kama alotoka kutupiga mtani.
Punguza utani mkuuKwani anacheza yeye?
Mwenzake nae ameambiwa awafunge Ahly 4