CAIRO: Kocha wa Al Ahly aambiwa asipoifunga Simba goli 3 kwa Mkapa ajira yake itakuwa matatani

Wakuu wasalaaaamu!

Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'.

Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al Ahly atatufuta droo au kufungwa moja, kumbe jamaa kesho wanatafuta matokeo, tena yale mazito kama alotoka kutupiga mtani.
Kwani anacheza yeye?

Mwenzake nae ameambiwa awafunge Ahly 4
 
Back
Top Bottom