CAIRO: Kocha wa Al Ahly aambiwa asipoifunga Simba goli 3 kwa Mkapa ajira yake itakuwa matatani

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
19,207
32,364
Wakuu wasalaaaamu!

Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'.

Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al Ahly atatufuta droo au kufungwa moja, kumbe jamaa kesho wanatafuta matokeo, tena yale mazito kama alotoka kutupiga mtani.
 
Wakuu wasalaaaamu!

Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'...
kwenye mahubiri ya Nabii Tito leo jioni , pia amesema Simba wasipopeleka sadaka ya kuvushwa nusu fainali kanisani kwake mpaka kesho saa 3 asubuh, basi atakula bao 3 safi dhidi ya Al-Ahaly Cairo 🐒
 
images (1)-1.jpeg
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Al Ahly hawana Timu ya kupata goli zaidi ya mbili huku labda waanze kesho...mechi zao zote ni goli moja au sare ya bila bila.
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Wakuu wasalaaaamu!

Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'.

Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al Ahly atatufuta droo au kufungwa moja, kumbe jamaa kesho wanatafuta matokeo, tena yale mazito kama alotoka kutupiga mtani.
Source ni Chili sauce!
 
Africa is Only Africa Ndo maana SOKA Haliendelei
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
mkuu umeacha kuishabikia timu yako ya simba siku hizi?
 
Back
Top Bottom