Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM
Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!
Wamefanya mgomo wa chini chini!
Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge, nashangaa hapa ofisini kumbe siyo Mimi tu ambao miili na molali wa kazi hakuna, ni Karibu wafanya kazi wote hapa ofisini hatujivunii kufanya kazi
CAG ukaguzi utaoufanya, Embu Tunaomba uainishe hasara inayopata serikali kwa siku hii moja ambapo kuna migomo inaendelea ya chini kwa chini huku wananchi wakiendelea kumkumbuka aliyekuwa Raisi wao kipenzi JPM