shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 890
- 1,398
Siyo usomi. Wenzake wamemuambia kuwa hilo neno siyo jema kulitumia kwa nini asiwe muungwana?? Nadhani anajenga kitu ambacho ni kibaya sana ktk jamii, ni muhimu unapomkwaza mwenzako kuomba msamaha na kuendelea na maisha. I can't imagine Prof Assad angekuwa ndiye Mzee Lowassa nadhani mpaka sasa tungekuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.
Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.
Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.
Sijui mshindi ataibuka nani.