CAG Prof. Mussa Assad amjibu Spika Ndugai, Asema Katiba ya JMT haina kifungu kinachomtaka ajieleze

CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.

Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.

Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.

Sijui mshindi ataibuka nani.
Siyo usomi. Wenzake wamemuambia kuwa hilo neno siyo jema kulitumia kwa nini asiwe muungwana?? Nadhani anajenga kitu ambacho ni kibaya sana ktk jamii, ni muhimu unapomkwaza mwenzako kuomba msamaha na kuendelea na maisha. I can't imagine Prof Assad angekuwa ndiye Mzee Lowassa nadhani mpaka sasa tungekuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
Jiwe ndio mhusika mkuu kwenye hii issue. Narudia tena, Jiwe anataka kumuweka CAG wake. Hivi vingine ni vituko tu. Lakini ukweli ndio huo
 
Siyo usomi. Wenzake wamemuambia kuwa hilo neno siyo jema kulitumia kwa nini asiwe muungwana?? Nadhani anajenga kitu ambacho ni kibaya sana ktk jamii, ni muhimu unapomkwaza mwenzako kuomba msamaha na kuendelea na maisha. I can't imagine Prof Assad angekuwa ndiye Mzee Lowassa nadhani mpaka sasa tungekuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Ukweli ni kwamba Jiwe anataka kumuweka CAG wake, hayo ya neno dhaifu ni mbwembwe tu. Pia Spika yeye katangulia tu ila engineer ni Jiwe ambaye kajificha nyuma
 
Hii isomwe in Maguvanga voice...
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu na CAG amesema ukweri tatizo watanzania tulizoea kusifiana tuuu hata vitu vya uongo,kama sikumfukuza bashite na kelele za wengi mnadhani nitamtumbua huyu siieigii.badala wafanyizie kazi ripoti wanazurura mara Doha,mara naskia yuko swideni tena kwenye limerii eti anafungua mkutano,mara anakimbilia waandishi dar tumepoteza milionzi ofu mane wewe unanguvu za kusafiri hovyohovyo. mimi nimekataa mikutano mingapi kwaajili ya kazi za watanzania ifike mahali viongozi tumtangulize Mungu mbere na tuwe na uzalendo! Mimi nimewahi kuita watu vilaza mbona sijajiuzulu,niliwaambia viongozi wastaafu wanawashwa-washwa kwahiyo nijiuzulu,nimesema hata sisiemu kuna majizi hilo neno ni gumu lakini ndiyo ukweri wenyewe. Wakaangalie kwenye kamusi udhaifu na majizi lipi neno laini nalipi zito. Mmezoea maneno malainii mimi kipindi changu nataka maneno magumu tena sieijii akitoa ripoti yake mwakani awe amevuta kabangi kake polepoooole ili awatandike vizuri!! tunawalipa mamilioni wanakaa vikao kurushiana vijembe huo ni uzaifu jamani au tuuite uzinifu? Haya tuchape kazi tuache maneno.hapa kazi tuu,natumbua watu wezi na wasioweza kazi siyo walioongea sijui nini mtu akachukia!! Siunywe maji utatulia au ulivyoenda uko katari ungekunywa kawaini kidogo ukasahau.
Ulipaswa uwe muandika hotuba za rais wewe...umekaa kabisa kichwani mwake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamusi ya Assadi ipo wapi? Utuoneshe maana ya neno Dhaifu. Assadi namfahamu sana, ni Kiburi sana, na kujifanya anasimamia misimamo isiyo na kichwa wala miguu. Aondoke kwenye utumishi wa umma, awe mwanaharakati, huko atafaa zaidi. Kwenye utumishi wa umma kuna taratibu zake, huwezi enda huko nje ya nchi ukadhalilisha nchi yako. Ajitathmini, na achie ofisin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Do you think Assad ana shida sana na hicho kiti? Assad hapo alipo anataka kuonesha na ndivyo ilivyo kuwa siasa haina nafasi kwenye professionalism, just a warning alert kwa wale wanaochanganya professional na politic!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali na Bunge ni vitu viwili tofauti...hivyo Ndugai aache uongo. Rais hawezi kuwa sehemu ya Bunge hata kama anasaini yanayopitishwa na Bunge.

Mihimili ipo mitatu. Spika Ndugai aache chuki binafsi na CAG, kwanza CAG hakusema bunge ni dhaifu ila alisema "kama mapendekezo ya CAG kuhusu upotevu wa pesa hatua hazitachukulia haitakuwa suala lake bali litakuwa ni udhaifu wa bunge" hapo amejibu swali kutokana na jinsi alivyoulizwa.

Hapa linaloendelea kutokea ni kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana wa fedha za umma kwa hiyo wanaona jinsi ya kulificha hili tatizo ni kumtibua CAG na kumsemea uongo ili afukuzwe.

Hakuna asiyejua nia ya ndugai na Magufuli....kumfukuza CAG na kumuweka mtu wa aina ya Doto James ili waendelee kuchukua fedha zisizo idhinishwa.
katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara ya 63.-(1) Rais kama sehemu moja ya Bunge atatekeleza madaraka yote aliyokabidhiwa na Katiba hii kwa ajili hiyo.
91.-(1) Rais atalihurubia Bunge Jipya katika Mkutano wake wa Kwanza na kulifungua rasmi Bunge hilo.

N.B. RAIS NI SEHEMU YA BUNGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.

Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.

Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.

Sijui mshindi ataibuka nani.
Serikali
 
Yule mtu aliyetunga au kucopy majukumu ya CAG na anawajibika kwa nani na kwa lipi,na na madaraka yake yatakoma vipi.Alimaliza mzizi wa fitina kumbe tukijipanga vizuri hakuna mtu kutuchezea Hata Katiba mpya hatuhitaji za mpito za kulinda Mafarao.
Tutahitaji Katiba Pure isio na chenga.
 
Kumekuwa na mazungumzo ya hapa na pale. Hebu tuanze kuiangalia Katiba ya Tanzania

1. Rais ni Sehemu ya Bunge:-

1072095
 
Mihimili ya utawala iko mitatu lakini Rais wa Nchi ndo mkuu wa mihimili yote hiyo. Baada ya Uchaguzi Mkuu ni Rais anayelifungua Bunge rasmi,je kaka Rais siyo sehemu ya Bunge ni kwa nini alifungue? Majaji wa Mahakama Kuu huteuliwa na Rais, je Rais siyo sehemu ya Mahakama?
Kwa kua pia rais huteua CAG so kwa mtazamo wako, rais nae ni sehemu ya CAG!? Msome vizuri mtoa hoja, kaeleza vizuri sana kuhusu nafasi ya rais katika bunge na kama mbunge; kwenye kuisimamia serikali (kazi ya bunge hiyo ) raisi sio sehemu ya bunge lakini kwenye kutunga sheria ( kazi pia ya bunge ) rais ni sehemu ya bunge
 
Ndugai anasema CAG anampa rais wakati mgumu bure. Hapa uchambuzi unaibua maswali mengi kuliko majibu.

Nyote mwazunguka mbuyu bali ni vizuri tukasubiri uchambuzi wa Mange Kimambi halafu majibu mwanana yataletwa na Tundu Lissu...wakija hao mnistue
 
CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.

Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.

Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.

Sijui mshindi ataibuka nani.

Tunabaki tukishangaa Mihimili miwili kwa mtu mmoja. Hivi katiba inasema hivyo kwamba Bunge likikataa kufanya kazi na CAG Spika atamsimamisha CAG asiingie Bungeni kisha Spika ataenda Kwa Mh Rais kumshauri amuita CAG ajieleze. Mh Rais akiona CAG yuko sahihi itakuweje??? Mabunge mengine yakimkataa CAG hulazimika kujiuzulu atutolee mfano halisi na sababu yake. Hisia zangu ni kwamba Bunge limeenda kuangalia nguvu ya mhimili anaouongoza Mh Rais ili tuweze kumkosoa kama hatalazimisha mteule wake ajiuzulu maana Spika ni kama vile amemwelekeza Rais cha kufanya. Ikiwa Mh Rais atambakisha CAG madarakani Spika itabidi uangalia nafasi yako inamfaa nani. Umekosea kwenda kwa Mh Rais.
 
Mihimili ya utawala iko mitatu lakini Rais wa Nchi ndo mkuu wa mihimili yote hiyo. Baada ya Uchaguzi Mkuu ni Rais anayelifungua Bunge rasmi,je kaka Rais siyo sehemu ya Bunge ni kwa nini alifungue? Majaji wa Mahakama Kuu huteuliwa na Rais, je Rais siyo sehemu ya Mahakama?
Ni sehemu ya BUNGE lakini si kwenye kujikagua....
 
Mihimili ya utawala iko mitatu lakini Rais wa Nchi ndo mkuu wa mihimili yote hiyo. Baada ya Uchaguzi Mkuu ni Rais anayelifungua Bunge rasmi,je kaka Rais siyo sehemu ya Bunge ni kwa nini alifungue? Majaji wa Mahakama Kuu huteuliwa na Rais, je Rais siyo sehemu ya Mahakama?
Anaweza kuwatengua muda wowote hao wateule wake ulowataja hapo?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako;
Yani mwanasiasa mkongwe unatumwa ukamwambie mwenzako akajieleze na ajiuzulu.

Basi na wew unasema kama ulivyoagizwa wakati unajua kabisa katiba haisemi hivyo. Unafanya hivyo kumfurahisha aliyekutuma, lakini mwisho wa siku wew ndiyo unaonekana mjinga, mwenzako yupo nyuma anasikilizia.

Na wew ndiyo kiongozi wa chombo cha kutunga sheria halafu unahamasisha viongozi wavunje sheria. Du!

Nilitegemea ungesema labda; "Tunakushukuru CAG umetupa changamoto, tunakuahidi tutazifanyia kazi"

Kazi mojawapo ya bunge, ni kuisimamia serikali, sasa CAG kawarahisishia njia za kuisimamia serikali, nyie mnataka akajieleze kwa jiwe!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa, CAG aende kwa jiwe kufanya nini? Watanzania siyo wajinga kihivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom