Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,521
- 36,922
Hakuna aliyemkamilifu,acha apumzike ila ameacha alama ya kuambiana ukweli,mkapa alikuwa na msemo wa uwazi na ukweli,Assad kusema Bunge ni dhaifu ulisema ukweli ila Tz hatupendi ukweliAlionesha ujinga
Hujui Assad ni fisadi kama mafisadi mengine waulize NBC alipokuwa Mwenyekiti wa Bodi huko.Kwa mtu mwenye mapenzi mema ya matumizi bora ya fedha za serikali CAG kama Assad angemuongezea muda ili kupunguza mianya ya matumizi mabaya ya fedha maana Prof. Assad alijipambanua kuwa ni mtu safi
Nyumban wapiCharles Kichere Mtu ya Nyumbani. Hongera kwa teuzi kwa mara nyingine tena.
Subira yavuta kheri,hongera zake ila ana kazi nzito sijui ataiweza au atafukia.
Hongera Profesa Assad.TutakukumbukaTumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.
Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
Ila alitetea hoja yake ya Dhaifu kwa nguvu zote,ila Ndugai atamkumbuka sana maana alitokwa povu la nguvuHakuna ubishi Prof yupo vizuri, tatizo ni kutokujua PR. Aliropoka!
Duh!..πππNdiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Labda shujaa wa home kwenu siyo TZTumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.
Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali