Assad kastaafu au katumbuliwa?
Katibu tarafa? Are you serious?Majina ya Charles yashaanza kurudi serikalini haha. Toka katibu tarafa to CAG[emoji16]
Very trueJakaya anabaki kuwa MVP forever.
Meko ana recycle incompetent leaders under him.
Kicheere ni CAG... Tumeliwa
Kicheere ni CAG... Tumeliwa
[/QUO
Cv ya CAG TAFADHALI WEKA HAPA.
Kawekwa ili kuficha ufisadi,ni kijana wake toka akiwa waziri wa ujenzi,ndege hufananao huruka pamojaNdiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Yaan hii ni kuinajisi CPA na Bodi ya wahasibu NBAA yaan mtu hata CPA hana leo anakua CAG
...nikisema tokea mwanzo spika alikua anatumika tu kama spika yakuongelea ila muongeaji alikua kajificha nyuma ya mjengo...leo najua watashusha pati la maana kushangilia wasiemtaka wamemweza...nyakati zingine unaweza kusema bora mkoloni angeendelea kuwepo kuliko hawa miungu watu wanaotaka kusifiwa ata kama wanakoseaHabari tamu sana hii kwenye masikio ya sipika Ndugai. Mungu huwa hawafichi wanafiki hivi kweli mtu kama CAG Assad humuongezei muda?

Huyo taarabu ndio kazi yake usitarajie vinginevyo.Tuache kuimba taarabu tujadili kama watu wenye uelewa kidogo...
Nakuuliza Majukumu ya CAG unayajua au unaropoka tu
Una CV zote za CAG waliopita? Au umeamua kubweka tu
Kwani kukosoa ni kosa.....aiseee....Serikali haitaki kukosolewa
View attachment 1252714
Sidhani,kama wangekuwa mapot kihivyo asingetolewa TRA kamishina generali.Kawekwa ili kuficha ufisadi,ni kijana wake toka akiwa waziri wa ujenzi,ndege hufananao huruka pamoja