CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

Bora huyu anapokea ripoti na tunajuwa ubovu na ufisadi wote. Kuliko DIKTETA Magufuli yeye aliposomewa ripoti ya upotevu wa Tsh 1.5 Trillion akamfukuza kazi CAG Prof Assad.

Bahati mbaya Bunge ndilo lenye kuchukua hatua. Ila Bunge lenye UTAAHIRA aliloliacha Magufuli unategemea lifanye nini? Bunge lina wabunge 99.999% wa CCM.

Simtetei Samia kwa kutochukua hatua kwenye ropoti ya mwaka 2021/22 kama tulivyotarajia. Nchi hii inaendeshwa kwa Katiba na utawala wa Sheria. Rais hawezi kusomewa ripoti leo halafu kesho aseme kamata fulani na fulani peleka Mahakamani. Tutakuwa tuarudia UHAYAWANI uleule wa Magufuli aliyejaza watuhumiwa magereza lakini hakuna hata kesi moja aliweza kuimaliza hadi anakufa.

Upo utaratibu nankuna vyombo vya kufanya hayo mambo. Na mwenye majukumu makubwa ni Bunge.

Katiba inaruhusu Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kama maagizo ya CAG hayatekelezwi. Kura zikipigwa na wakashinda wanaosema hawana imani basi Rais anavunja cabinet.
Magufuli atakuwa alilala na Mkeo au Mama yako. Hii siyo kawaida, huu ni ugonjwa. Hata Mdude alietekwa na kuteswa anaona bora katili Magufuli kuliko huyu wa kurembua.
 
Hivi plee bagaining iliishia kwenye mifuko ya watu au zilirudishwa? Naona kama watanzania wamekua wasahaulifu. Kujadili bungeni nikumuongezea mwananchi mzigo wa matumizi
 
Back
Top Bottom