Yanga atafuzu robo final katika kundi D
Ilo Sina wasiwasi nalo yanga atafuzu
Na kuna timu moja kubwa kati ya izo mbili kuna mmoja atagongwa na yanga nje ndani hapo
Mda utaongea
 
Ratiba inatoka lini?
 
Mrangi Usm Alger mbabe wa Al ahly alikufa kwake
Mshuka daraja yule.

Alimfunga Al Ahly akiwa amefanya rotation ya kikosi chake alichocheza fainali kwa 90%

Maana yake isingeweza kutamba kwa Al Ahly kama ingekuja na kikosi kile cha washuka daraja ambacho walicheza na nyie.
 
Ayo mengine utajua wewe ila Matokeo unayajua
 
Mshuka daraja yule.

Alimfunga Al Ahly akiwa amefanya rotation ya kikosi chake alichocheza fainali kwa 90%

Maana yake isingeweza kutamba kwa Al Ahly kama ingekuja na kikosi kile cha washuka daraja ambacho walicheza na nyie.
Aahaaaaaa,kwahiyo atakapocheza na nyie atakuwa kibonde au kipanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…