Kutoka EAC ya ZamaniMajira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Muda ndio huu sasa
Tukio lipo live kwenye official channel ya Caf YouTubelink?
Wako live. MkuuMi naangalia kupitia chaneli ya Azam ila nadhani kwenye channel ya CAF YouTube watakuwa live.
Azam kwenye channel yao waliosema watarusha live hii draw, bado wanaonesha marudio ya mechi ya jana
Tayari!!Makundi Confederation yanapangwa muda huu