PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,781
gfsonwin Lete Mlisho-Nyuma/Feedback, maendeleo ya mahusiano yenu kwa sasa!..isije ikawa ni nguvu ya soda!..thanks for accepting my apology ma sweetheart, najua it was difficult na naumia sana nikikumbuka but our good lord huwa hashindwi my true friend we are just going to pray for the rest. Asprin sikusomi kabisa leo lakini kiupekee kabisa naomba niutambue mchango wa platozoom, PakaJimmy charming gal Kipipi ingawa alinigongelea misumari mito asante sana kaka mkubwa princess enny i can feel your empathy rutta ma true brother i love you and wote wale ambao wamenisaidia sana katika kufanikisha msamaha wangu kukubaliwa. Nina waahidi kwamba sitowaangusha kamwe nitakuwa rafiki mwema sana.
Thanks ma true friend cacico, i love you ma swrheart. am with you in prayers ma dear.
Nimjuavyo mimi cacico (kumbuka ni mwanangu wa kufikia) ni kwamba mama yake akichelewesha lunch huwa anasahau misamaha yote aliyowapa marafiki na ndugu na jamaa wote, anageuka mbogo ghafla!...ana njaa huyo mtoto, sijui ni njaa ya ukoo wa babu yao!
Wakati akiwa mdogo alimtesa sana mama yake, ikabidi mama yake amwombe mke wangu ili mwanae cacico awe ananyonya na kwa mke wangu ili at least ashibe!!(maana mamake cacico na mke wangu walizaaga msimu mmoja), na ndiyo maana ya cacico kuwa mwanangu wa kufikia.