cacico am sorry...............ma sweetheart.

cacico am sorry...............ma sweetheart.

Gfsonwin na @ cacico kwa nini msiwe wakweli?
Baada ya thread hii kurushwa nilianza investigations,taarifa za kiintelijensia zinasema ukweli wa tukio ni kuwa cacico alibandikwa mimba na @ asprin,katika kukuru kakara ya kuitoa kwenye dispensare ya Kaizer iliyoko keko mwanga mambo yaliharbika ikabidi gfsonwin atafutwe ili ampeleke kwa dr wake bingwa wa kinamama,wakati anatafutwa naye kumbe yuko bize na bwanake nanhii buibui gest,wadau m nanipata uzuri?

wewe mabwepande ndo patakuhusu na hemedi msangi ndo akushughulikie..............
 
Gfsonwin na @ cacico kwa nini msiwe wakweli?
Baada ya thread hii kurushwa nilianza investigations,taarifa za kiintelijensia zinasema ukweli wa tukio ni kuwa cacico alibandikwa mimba na @ asprin,katika kukuru kakara ya kuitoa kwenye dispensare ya Kaizer iliyoko keko mwanga mambo yaliharbika ikabidi gfsonwin atafutwe ili ampeleke kwa dr wake bingwa wa kinamama,wakati anatafutwa naye kumbe yuko bize na bwanake nanhii buibui gest,wadau m nanipata uzuri?
safari hii tukusutie chini ya bahari! khaaaaaaaa, mzima weye Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
mamito usjali kabisa mpenz wangu wa moyoni.nakuskuru sana kwa kuja japo kuniskilizia tu. ila cacico keshasamehe, btw msamaha wangu itabidi mumewe cacico ndo awe mzee wa mbege yeye na Kaizer. mwambie PakaJimmy akupe sale na ukoka na mbuzi beberu ambalo ndo linaanza kupanda(beberu kijana)
shaka ondoa, nitatangulia mbele kabisa! mzima wewe my dada?
 
Nisamehe kwa kuchelewa kuja kukusaidia kuomba msamaha gfsonwin .......namjua cacico vizuri hope ameshakusamehe kwa moyo wake wote......hii ramadhani inanifanya niwe busy kiasi chake lol
gfsonwin mie pia najipanga nitafute wazee waje na mbege kuniombea msamaha kwako.......unajua vile namaanisha kutoka uvunguni mwa moyo wangu!..... :busu

Mimi penda wewe sana ila nikicheki majukumu yananiandama!
sweetlady, mama kadogoo, mi mithd u kha! nipo my dear, naliendeleza gurudumu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani shemeji cacico ulivyona moyo wa nyama naamini ulisjamsamehe my swtlo gfsonwin, Bishanga naona ana maneno mengi tu kama kawaida yake.
sweetlady nimekumiss hujambo mama?

Sijambo Kaizer .....mie pia nimekumiss

Hii ramadhani hii we acha tu mda wa jf unakosekana manake niko busy kuandaa futari nikimaliza naanza kuandaa daku ila nipo mzima wa afya !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom